Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

Huyo uncle wako alienda akiwa na miaka mingapi ? Na alienda lini ? Hizi nchi kila kitu kimepangiliwa na wanaenda na wakati. Uliza Diaspora watakuambia kwenda Marekani au nchi za ulaya miaka ya 90 ilikuwa rahisi kuliko miaka hii ya 2020. Sheria zimebadilika aisee, kama unataka kuzamia kama watu afrika magharibi pitia bahari ya Meditteranea. Ukifika huku wanakuuliza taaluma kama hauna taaluma wanakupa pesa ya matumizi kila mwezi kwa miezi kadhaa. Halafu wanatafuta siku moja wanakuja usiku wa manane, wanakwepa waandishi wa habari na majirani. Wanakupandisha ndege kwenu, huku kuna ugumu wake. Kila kitu kiko planned hakuna janja janja. Tatizo hamufuatilii habari angalia nchi kama Sweden wakimbizi wametuharibia. Huku ulaya waafrika wanakaririwa kama wauza madawa. Ili kukomesha hili ndo maana wamekuja na sheria mpya ambazo nimeorodhesha hapo juu. Wakenya wenye taaluma wengi sana wameomba kazi na wamepata huku. Huku inabidi ukaze makota kikweli kweli watu wanajiforce kujifunza courses online ili waende na hitaji la soko la kazi.
Naomb ushauri ni nchi zipi ambazo sekta ya ujenzi inauhitaji wa nguvu kazi, Sisi ambao ni Wataalamu wa sekta hii kama Ma Engineer au Mafundi tuangalie fursa za huko nje
 
Naomb ushauri ni nchi zipi ambazo sekta ya ujenzi inauhitaji wa nguvu kazi, Sisi ambao ni Wataalamu wa sekta hii kama Ma Engineer au Mafundi tuangalie fursa za huko nje
Kaka sijui kuhusu hilo lakini kimsingi Marekani ina mazingitra mazuri ya kutengeneza hela katika fani zzozote zile. Lakini kwa mazingira ya kuwa na familia na kuishi bila stress nchi kama Austria, Germany na Switzerland zipo poa sana, lakini kuingia katika nchi hizi ulaya ni kazi sana.
 
Hv kutengeneza passport mpk kukamilika inachukua muda gani kwa sasa
 
Hakuna mtu anayesoma STEM(SCIENCE TECHNOLOGY ENGINEERING AND MATHEMATICS) bila ya kusoma short courses za Financial Accounting, Businesss Administration, Computer Science na Software Development kwenye first world countries. Ndani ya muda miaka ijayo hivi vitu vitakuwa common knowlwdge katika first world countries kama Microsoft Office skills ilivyo sasa nchini kwetu. Haya mambo anayoongea Prof Muhongo ni muhimu sana kuyazingatia sana sana kama unataka kuzamia nje ya nchi. Kuna website zinafundisha coding bure ukifanikiwa kujifunza na ukawa na github profile inayoonesha project zako kupata kazi ujerumani ni rahisi sana. Utapewa kazi bila hata ya degree watakulipa huku ukiwa unasoma bachelor yako. Wahindi wamejazana sana huku Ujerumani mpaka makampuni yanalalamikiwa hayazingatii diversity katika kuwapa watu kazi. Lakini ukweli ni kwamba wahindi wanajua shida na wanakomaa na skills kuendana na mahitaji ya sasa ya soko la Ajira.
 
Attachments

  • WhatsApp Video 2024-02-07 um 19.57.20_30eb39c8.mp4
    25.7 MB

Last sentence "tuheshimu tafiti"
 
1707414341942.jpeg

In English
Are you planning to study or work in Germany? Join our free webinar on February 14th at 10:00 AM (German time) to learn all about the visa requirements and application process. Our experts will guide you through the essential steps to ensure a smooth visa application experience. 🔗 Register now: LinkedIn Don't miss this opportunity to gain valuable insights and get your visa-related questions answered. Secure your spot today! #GermanyVisa #StudyAbroad #WorkAbroad #VisaApplication #WebinarAlert

Kwa Kiswahili
Unapanga kusoma au kufanya kazi Ujerumani? Jiunge na mtandao wetu usiolipishwa mnamo Februari 14 saa 10:00 asubuhi (saa za Ujerumani) ili upate maelezo yote kuhusu mahitaji ya visa na mchakato wa kutuma maombi. Wataalamu wetu watakuongoza kupitia hatua muhimu ili kuhakikisha uzoefu mzuri wa maombi ya visa. 🔗 Jisajili sasa: LinkedIn Usikose fursa hii ili kupata maarifa muhimu na kujibiwa maswali yako yanayohusiana na visa. Linda nafasi yako leo! #GermanyVisa #StudyAbroad #WorkAbroad #VisaApplication #WebinarAlert

Auf Deutsch

Planen Sie, in Deutschland zu studieren oder zu arbeiten? Nehmen Sie an unserem kostenlosen Webinar am 14. Februar um 10:00 Uhr (deutsche Zeit) teil, um alles über die Visabestimmungen und den Antragsprozess zu erfahren. Unsere Experten werden Sie durch die wichtigsten Schritte führen, um einen reibungslosen Ablauf des Visumsantrags zu gewährleisten. 🔗 Melden Sie sich jetzt an: LinkedIn Verpassen Sie nicht die Gelegenheit, wertvolle Einblicke zu gewinnen und Antworten auf Ihre Fragen zum Thema Visum zu erhalten. Sichern Sie sich noch heute Ihren Platz! #DeutschlandVisum #StudyAbroad #WorkAbroad #Visumbeantragung #WebinarAlert
 
Hivi inawezekana kusave around 150k kwa miaka 3 ukiwa Germany 🇩🇪, USA o Canada.?
 
Namaanisha Euro laki moja na nusu kaka(150k) ndani ya miaka mitatu.
Nisikudanganye hio ni ngumu sana ukiangalia ajira kwa mkataba wako wa kwanza ni kuanzia 35000 to 55000 Euros. Tatizo bills ni nyingi na kodi ni nyingi kusave hio hela sio kitu rahisi.
 
Nisikudanganye hio ni ngumu sana ukiangalia ajira kwa mkataba wako wa kwanza ni kuanzia 35000 to 55000 Euros. Tatizo bills ni nyingi na kodi ni nyingi kusave hio hela sio kitu rahisi.
Hiyo ni Annual Salary.
Hapo Take home inaweza kuwa ngapi kwa experience yako.?

2.Mimi napiga lugha niko B1 natarajia kumaliza mwezi wa 4.Njiaa nzuri ya kuingia huko ni ipi as per your experience.Niko na Bsc.in Mechanical engineering with 3 years experience.

Nimefatilia FSJ na BFD kwa mimi naona kama nitapoteza mda tu.? Au wasemaje mkuu.
 
Back
Top Bottom