Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 2,732
- 4,568
Unaweza ukaomba kazi directly kwenye mitandao kuna watu wanapata kazi huko lakini hakikisha una angalau B1. Njia nyingine kama una hela ni ku-apply chuo. Chuo huku ni sawa na bure utachotakiwa ni kuwa na hela ya kulipia blocked account. Nilituma huku kama sikosei kwenye post zilizopita.Hiyo ni Annual Salary.
Hapo Take home inaweza kuwa ngapi kwa experience yako.?
2.Mimi napiga lugha niko B1 natarajia kumaliza mwezi wa 4.Njiaa nzuri ya kuingia huko ni ipi as per your experience.Niko na Bsc.in Mechanical engineering with 3 years experience.
Nimefatilia FSJ na BFD kwa mimi naona kama nitapoteza mda tu.? Au wasemaje mkuu.
Blocked Account 11000 euro sio mchezo aise.Unaweza ukaomba kazi directly kwenye mitandao kuna watu wanapata kazi huko lakini hakikisha una angalau B1. Njia nyingine kama una hela ni ku-apply chuo. Chuo huku ni sawa na bure utachotakiwa ni kuwa na hela ya kulipia blocked account. Nilituma huku kama sikosei kwenye post zilizopita.
Kama una degree unaweeza ukaomba kazi na ukapita sana sana kama sekta ya IT nimekutana na watanzania ambao wameshapata kazi huku. Vile vile kama una miaka chini ya 26 unaweza uka-apply Au-pair za marekani, na nchi zingine zinazoongea kiingereza.Blocked Account 11000 euro sio mchezo aise.
Wanaoenda kwa issues kama za conference.. hii imekaaje.?Canada wameongea Jana sasa unatakiwa iwe na $20,700 badala ya $10,000 ya awali.
Unaenda kwa agent unalipa 2m+ kwa kitu ambacho hawezi fanya
Uliwauliza kufahamu wameingia kwa visa ipi..?Wajomba kazeni msuli kutafuta VISA za Canada. Watu wanaingia Canada kuliko wanaoingia DAR kutoka mikoani. Juzi nimewaona vijana kama 25 kutoka Tanzania. Sijui wametumia mbinu gani kupata VIsa lakini wanaingia sana. Moja wao kaniambia takribani wabongo 100 wameingia Canada.
Jambo ambalo nalitafutia jibu ni kwa nini asilimia 80 ya hawa vijana wanatoka Zanzibar? Ni kwa sababu Zanzibar Wana muamko wa kusafiri au ni uwezo wa kiuchumi? Sielewi kabisa.
Wadosi kwa maana ya wahindi?Wadosi ndio wamesababisha yote haya
Diploma IT, unapata kazi nchi gani... na site zipi utawezza kuapply.?Somea taaluma ya IT hata cheti cha diploma ukishamaliza apply kazi utapata. Kama hautaki kusoma njia pekee na ya uhakika mbadala na hiyo niliyokuambia ni kumuoa mmarekani. Huu naokuambia ni ukweli sitaki upoteze hela au uibiwe hela yako.
YesWadosi kwa maana ya wahindi?
Ukiangalia huko juu nilishaweka sites na hawaangalii cheti wanaangalia kama unaweza kufanya kazi ? Maana kwenye interview watakupima hivyo na ni vizuri zaidi kama una GitHub yenye link za project ulizowahi kufanya.Diploma IT, unapata kazi nchi gani... na site zipi utawezza kuapply.?
Hapa unazungumzia Germany pekee.?Ukiangalia huko juu nilishaweka sites na hawaangalii cheti wanaangalia kama unaweza kufanya kazi ? Maana kwenye interview watakupima hivyo na ni vizuri zaidi kama una GitHub yenye link za project ulizowahi kufanya.
Hata Marekani yaani kufanikiwa sio kirahisi kununua nyumba inachukua mkopo ambao utalipa at least kwa miaka 30. Bora uende kwa malengo urudi nyumbani.Hapa unazungumzia Germany pekee.?
Hata Marekani yaani kufanikiwa sio kirahisi kununua nyumba inachukua mkopo ambao utalipa at least kwa miaka 30. Bora uende kwa malengo urudi nyumbani.
Niliuliza kuhusu hii mkuu..Ukiangalia huko juu nilishaweka sites na hawaangalii cheti wanaangalia kama unaweza kufanya kazi ? Maana kwenye interview watakupima hivyo na ni vizuri zaidi kama una GitHub yenye link za project ulizowahi kufanya.
Hivi DV lottery si ata mtu mwenye diploma anaweza kuomba au wewe hauna ata diploma?Habari wakuu, hela ya kwenda usa au canada nimepata, kuna huyu ajenti namuona tiktok anatamba anaweza kumtafutia mtu yeyote visa ya kwenda usa kufanya kazi anaitwa Dnyota Travel ajent vp kwa anayemfahamu sio mpigaji kweli? Mind you nataka kazi zisizo na taaluma, msiniambie mambo ya kuapply DV lottery.
Nimekujibu kuwa hata Marekani hali ni hiyo hiyo inategemea na mtazamo wa mtu ni rahisi kusahau kilichokuleta ukija huku.Niliuliza kuhusu hii mkuu..
Kwamba hapa unazungumzia Germany peke
Kwa hesabu hizo unatinga mwezi mmoja unarudi bongo nyoso ..unabaguliwa wapi...Kweli lakini km per hour unakula $50 si bora uendelee tu huku unajaza kibubu,
Mfano let say ukifanya kazi kwa masaa 10 means una $500 per day unahisi ni ndogo hio?
$500×30=15000
Mwezi mmoja unaingiza $15000
Sio kidogo hio?
Tamaduni za wazee mama zetu...wameambukizwa shangazi nadada zetu mwanaume NI kuchunwa....asipokimbia ndio anakuoaHii wanaiweza wanawake wa kenya tu sana sana.. na wanakuja mpaka huku tz , znz kutafuta wazungu. Wanwake wa kibongo wakipata tu mzungu au bwana wanaanza kutangaza njaa na dhiki..
Hebu fikiria kwa akili za kawaida tu. Unataka kumtoa mrembo out aje umlishe umnyweshe kwa fedha zako lakini bado atakudai kuwa umtumie nauli hana ..? Hakuna mzungu atakaye deal na hizi non sense atahisi kabisa anachunwa.
Madem wa kibongo wakitoka date na mzungu akiambiwa wa split the bill wataweza.??
Wapunguze kuonesha njaa ,na dhiki kwanza .watafanikiwa
Wivu unafki roho mbaya....nilikuwa nasema Kama wewe ....ndani ya miaka 15 wameniangusha naanza upya...ngozi nyeusi hawapendi kuona unaendelea vizuri...Hapa bongo ni rahisi sana kutajirika kuliko huko lakini ni hadi uwe na macho.
Unaenda clubKaka acha kabisa, Maisha ya Ulaya ni ya upweke wa balaa kwa mtu aliyetoka Africa, huwezi kwenda ka jirani wala sehemu kwamba nikale nipige soga na watu, Pesa sio kila kitu ila ukiwa na furaha ndio kila kitu.
Nilikua nawaza home mpaka nakonda, chakula nacho magumumashi hakina ladha, miezi 3 ya mwanzo nilipata tabu sana aisee.
saivi nakata mitaa kama sina akili nzuri
Hata Marekani yaani kufanikiwa sio kirahisi kununua nyumba inachukua mkopo ambao utalipa at least kwa miaka 30. Bora uende kwa malengo urudi nyumbani.
Nazungumzia dunia nzima kuna watu wameajiriwa google wakiwa hawana hata degree