Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

Mkuu naomba connection nijilipue huko
 

Wengine bongo tunaishi na upweke tu kama mbele
 
Alieko canada anishike mkono naamini sitamuangusha, nauki mpaka nafika huko niandae sh ngapi?

Ndugu ngoja nikupe mchanganuo kidogo tu

Chumba kimoja kwa mwezi ni $750
Chakula kwa mwezi kama ww ni $200

Kufika hapa bila kuwa mwanafunzi au worker huwezi survive hata mwezi.

Kama huna scholarship hakikisha una si chini ya 25m ya matumizi baada ya kulipa ada ya chuo
 
Sawa mkuu tunashkuru kwa taarifa.
Mimi elimu yangu ni kidato Cha nne, ( non professional) nawezaje kwenda nchi yoyote ya UAE au Qatar kufanya kazi ya ulinzi? Nisaidie kwenye eneo hili kama una uzoefu unipe msaada
Tafuta ujuzi /fani hakikisha una "skills set" watu wengi wanaishi sio kwasababu tu wana degree bali wamebobea kwenye ujuzi fulani na wanategeneza pesa vizuri tu.
 
Unaona mbali sana , kila siku na waambia watu . Watu wanaenda kupambana nje sio tu wanajipambania wao pekee, ni watu walio ji sacrifice kwajili ya familia ili kubadili hali duni
 
Upo nchi gani mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…