Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu


Watanzania wachache sana wenye uwezo wa kifikra kama wewe. Asante kwa akili kubwa hii.
 
Siku moja jaribu kufanya MHA screening, itakusaidia kujua your mental health state.
Don't take it too serious Mr, you may effectively secure your mental health perfection coz we are in the social media platform that contains a lot of various people's behaviours.

It was just a joking and don't freeze up your brain, relax, enjoy the moment and welcome again for sharing critical ideas [emoji2]
 
Unapoona wanaume wanajadili maisha wewe chukuwa kopo uewende msalani ukachambe. Fanculo.
 
Kuna upweke kuliko kukaa Bongo huna ramani? Unaposema kazi ngumu ni kazi ngumu IPI hiyo wakati kazi ngumu zinafanywa na mashine?

Bongo wanaofanya kazi za tourism hasa hunting wanakaa porini camp miezi 6 bila kurudi nyumbani, watu wa migodini wapo camp, bado sijaelewa sehemu unayotengeneza pesa unakuwa mpweke vipi?

Hakuna bia? Hakuna TV? Hakuna simu? Hakuna internet? Hakuna off? hebu tuache akili za kijinga hizi.

Wale kataa ndoa huoni sehemu hakuna mademu ndio zinawafaa zaidi?
 
Niungamishe na huyo jamaa yako tafadhali
 
We nawe anzisha uzi wako huko...
Yeye ameamua kuanza na hiyo anaendelea na nyingine shida ipo wapi.
Kujitia ujuaji ukute huna unachokijua
.
 
Sawa mkuu tunashkuru kwa taarifa.
Mimi elimu yangu ni kidato Cha nne, ( non professional) nawezaje kwenda nchi yoyote ya UAE au Qatar kufanya kazi ya ulinzi? Nisaidie kwenye eneo hili kama una uzoefu unipe msaada
Mimi mwaka jana kuna rafiki yangu yupo Dubai nilienda kwake baada kurudi Tanzania aliniambia kazi zipo nyingi sana hasa za Ulinzi pia aliniambia kuna safari za Canada lakini kwa Canada ni kwa kujilipua kwa ukimbizi.
Ila kwa Dubai nilishindwa kwa Mshahara aliniambia ni 2700 kwa fedha za kule kwani jina nimelisahau.
Na ktk huu Mshahara nyumba pamoja na usafini ni juu ya mwajiri kasoro tu Kula ni unajitegemea mwenyewe.
Mm ilinishinda kwani wanaonitegemea ni wengi kwani ingeniwia ngumu kusevu.
Na mawakala waaminifu wapo Uganda kuendana na maelezo ya huyu rafiki yangu kwani yy pia alianzia prosesi Uganda
 
Ila hata kibongo bongo ni cheap pia.....
Ukiambiwa ukafanye hizo kazi. Kule moshi au Arusha huwezi kukubali. Ila Ukiambiwa uende ukafanye same job USA au UK unawahi ndukiii...

Ila haya maisha Jaman dah basi tu.
 
Kwa ujumbe huu asipo jitafakari na kubadili mindset yake ..ndio basi tena.

Kuna watu hawataki ku take risks za aina yyte.
 
2700dhs ni Sawa na 1.7m za kibongo.

Sio haba
 
Huko ng'ambo malipo ni tofauti na hapa nyumbani
Ila hata kibongo bongo ni cheap pia.....
Ukiambiwa ukafanye hizo kazi. Kule moshi au Arusha huwezi kukubali. Ila Ukiambiwa uende ukafanye same job USA au UK unawahi ndukiii...

Ila haya maisha Jaman dah basi tu.
 
Fanya unipe connection ya huyo jamaa yako tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…