GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
Hili nalo Neno Mkuu. Ila Wanadondoka kama Inzi huko Mlandizi na Kibaha ( Coast Region )Watafanya nini sasa ikiwa hawaijui kesho yao?
Israeli.What goes around comes around idhini ya kuua amewapa nani?
GENTAMYCINE nisiwe Mnafiki na mtanisamehe kama kuna nitakaowakwaza.Najiuliza kwanini imekuwa kama Vita,sababu ninachojua Mimi au Kwa mtazamo wangu isingepaswa kutumika nguvu kubwa sana,kwasababu Jambo rahisi ni kuwekwa kizuizi njiani na kuwakamata kistaarabu Tu,lakini ninachokiona sasa ni kama uhasama uliopitiliza
Kama ndio hivyo basi inaeleweka,kwamba ifike kipindi watu waache mazoeaGENTAMYCINE nisiwe Mnafiki na mtanisamehe kama kuna nitakaowakwaza.
Mkuu Watu wa Maliasili hilo Eneo wameshatoa sana Elimu ila Wahusika wanadharau.
Labda kwa hivi Wanavyodondoshwa mazima ( R.I.P ) wanaweza Kubadilika.
Kweli wameamua kuwashughulikiaMkuu hii operation ya kuwaua wauza mkaa mbona wameianza muda tu takribani miezi3 sasa walimuua jirani yetu mmoja almaarufu kunguru jamaa alikuwa mwendesha boza ya mkaa.
Tulipigiwa simu na wasamalia wema kuwa kuna mwendesha pikipiki kapata ajali pande za msoga ila tumefika eneo la tukio pikipiki na mkaa vyote vipo salama ila mwili wa marehemu ulikuwa umepigwa na kitu kizito utosini.
Dakika 30 zilizopita nimetoka Msibani Kumzika Mmoja wao ambaye Utumbo ulitoka Nje na ukarudishiwa kabla ya Kuzikwa.
Kesho tena kama nikipata Nauli na nikijua huko Msibani kuna Wali mzuri wa Nyama na Nazi naweza kwenda Kumzika mwingine huko huko.
WATU WATAGUTE KAZI ZINGINE MM NI MDAU WA MAZINGIRA HALI MBAYA HUKO MASHAMBANI KUNA UHARIBIFU MKUBWA SANA SERIKALI ISIWE KATILI KWA KUUA WATU WAKE. MKAA UKOSE THAMANI HUKU MJINI. BEI YA UMEME NA GASI IWE CHINI YA MKAA.
Sijawahi kuona a Bogus Media kama ya Tanzania na ndiyo maana Ninaidharau mno.
( tusio na mbele wala nyuma )
Ww ndio pimbiUngekuwa na Akili ungenishukuru tena mno GENTAMYCINE kwa Kukuletea hapa hii Taarifa Muhimu ambayo nina uhakika hakuna Media yoyote ile iliyoripoti.
Ukiwa Mpumbavu kamwe hutoweza Kunielewa wala kuielewa pia na Sanaa yangu ya Kipekee ya Uwasilishaji wa Mada na Masuala Mtambuka hapa JamiiForums na Tanzania kwa ujumla.
Chief ulitaka kusema wana FAMASI ya roho au?hao askari wana FAMASIHARA na roho za watu.
GENTAMYCINE naturally and Professionally ni Shadow Whistleblower Specialist na huwa nafurahi Kuwaibulia tu Mambo magumu na nyeti Watanzania ( hasa wa hapa JamiiForums ) kwakuwa Naupenda mno huu Mtandao na Wenyewe pia Umeniheshimisha sana.Na kweli media zimezubaa.
Kwa mfano ile habari ya yule jamaa kukatwa sikio na mgoni wake. Wale wa sokoni
Bila wewe tusingeijua.
(Though chini ya kapeti wadau wanasema ni wewe ndo walipita na sikio ππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ)
Wanajua ila wanapewa onyo mapemaSijawahi kuona a Bogus Media kama ya Tanzania na ndiyo maana Ninaidharau mno.
Haya Matukio ya Mauwaji huko Mlandizi na Kibaha naambiwa sasa yana Wiki ya Tatu au Mwezi ila hayaripotiwi lakini Simba Mnyama Kafa leo kila Media imemfanyia Coverage utadhani ana Umuhimu kuliko Binadamu / Mtanzania anayekamuliwa Kodi ya kila aina.
Hovyo kabisa.....!!!!!!
Ni kama hawataki elewa. Maliasili wakikaza Mkaa utapotea sanaWaliambiwa hawakusikia
Walikuwa wabishi
Ova
Asante kwa Ushuhuda huu Kuntu kabisa Mkuu kwani kuna Watu walidhani GENTAMYCINE naongopa au nimekurupuka na hii Taarifa.Mkuu hii operation ya kuwaua wauza mkaa mbona wameianza muda tu takribani miezi3 sasa walimuua jirani yetu mmoja almaarufu kunguru jamaa alikuwa mwendesha boza ya mkaa.
Tulipigiwa simu na wasamalia wema kuwa kuna mwendesha pikipiki kapata ajali pande za msoga ila tumefika eneo la tukio pikipiki na mkaa vyote vipo salama ila mwili wa marehemu ulikuwa umepigwa na kitu kizito utosini.
Hayati Dk. Magufuli Utawala wake Umeshutumiwa sana kwa Watu Kuuwawa ila kwa mbaaaaaaaali hivi naiona Awamu ya fulani kwa Watu Kuuwawa inaweza kwa Miaka Miwili ikawa imemzidi ya Msingiziwa Hayati kwa 75%Tuliambiwa hatumwagi damu tena imekuwaje watu wanauwawa hadharani?