Kama una Ndugu au Mpenzi anafanya Biashara ya Magendo ya Mkaa Mlandizi na Kibaha mwambie aache kwani Askari Maliasili wa huko sasa hawatanii

Kama una Ndugu au Mpenzi anafanya Biashara ya Magendo ya Mkaa Mlandizi na Kibaha mwambie aache kwani Askari Maliasili wa huko sasa hawatanii

Watafanya nini sasa ikiwa hawaijui kesho yao?
Hili nalo Neno Mkuu. Ila Wanadondoka kama Inzi huko Mlandizi na Kibaha ( Coast Region )

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakary Kunenge najua kama Boss Kubwa wako Rais Samia bila Kutusoma hapa JamiiForums hana raha na naamini hata Wewe pia unatusoma / unanisoma hivyo nakuomba liingilie hili Kati upesi sana kwani kwa sasa hali huko ni mbaya.
 
Najiuliza kwanini imekuwa kama Vita,sababu ninachojua Mimi au Kwa mtazamo wangu isingepaswa kutumika nguvu kubwa sana,kwasababu Jambo rahisi ni kuwekwa kizuizi njiani na kuwakamata kistaarabu Tu,lakini ninachokiona sasa ni kama uhasama uliopitiliza
GENTAMYCINE nisiwe Mnafiki na mtanisamehe kama kuna nitakaowakwaza.

Mkuu Watu wa Maliasili hilo Eneo wameshatoa sana Elimu ila Wahusika wanadharau.

Labda kwa hivi Wanavyodondoshwa mazima ( R.I.P ) wanaweza Kubadilika.
 
Mkuu hii operation ya kuwaua wauza mkaa mbona wameianza muda tu takribani miezi3 sasa walimuua jirani yetu mmoja almaarufu kunguru jamaa alikuwa mwendesha boza ya mkaa.

Tulipigiwa simu na wasamalia wema kuwa kuna mwendesha pikipiki kapata ajali pande za msoga ila tumefika eneo la tukio pikipiki na mkaa vyote vipo salama ila mwili wa marehemu ulikuwa umepigwa na kitu kizito utosini.
 
Kweli wameamua kuwashughulikia
 
Dakika 30 zilizopita nimetoka Msibani Kumzika Mmoja wao ambaye Utumbo ulitoka Nje na ukarudishiwa kabla ya Kuzikwa.

Kesho tena kama nikipata Nauli na nikijua huko Msibani kuna Wali mzuri wa Nyama na Nazi naweza kwenda Kumzika mwingine huko huko.

WATU WATAGUTE KAZI ZINGINE MM NI MDAU WA MAZINGIRA HALI MBAYA HUKO MASHAMBANI KUNA UHARIBIFU MKUBWA SANA SERIKALI ISIWE KATILI KWA KUUA WATU WAKE. MKAA UKOSE THAMANI HUKU MJINI. BEI YA UMEME NA GASI IWE CHINI YA MKAA.
 
Habari walizonazo sasahivi media ni za Bob junior

View attachment 2553049
Sijawahi kuona a Bogus Media kama ya Tanzania na ndiyo maana Ninaidharau mno.

Haya Matukio ya Mauwaji huko Mlandizi na Kibaha naambiwa sasa yana Wiki ya Tatu au Mwezi ila hayaripotiwi lakini Simba Mnyama Kafa leo kila Media imemfanyia Coverage utadhani ana Umuhimu kuliko Binadamu / Mtanzania anayekamuliwa Kodi ya kila aina.

Hovyo kabisa.....!!!!!!
 
Ungekuwa na Akili ungenishukuru tena mno GENTAMYCINE kwa Kukuletea hapa hii Taarifa Muhimu ambayo nina uhakika hakuna Media yoyote ile iliyoripoti.

Ukiwa Mpumbavu kamwe hutoweza Kunielewa wala kuielewa pia na Sanaa yangu ya Kipekee ya Uwasilishaji wa Mada na Masuala Mtambuka hapa JamiiForums na Tanzania kwa ujumla.
Ww ndio pimbi
 
Na kweli media zimezubaa.
Kwa mfano ile habari ya yule jamaa kukatwa sikio na mgoni wake. Wale wa sokoni
Bila wewe tusingeijua.
(Though chini ya kapeti wadau wanasema ni wewe ndo walipita na sikio 🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️)
GENTAMYCINE naturally and Professionally ni Shadow Whistleblower Specialist na huwa nafurahi Kuwaibulia tu Mambo magumu na nyeti Watanzania ( hasa wa hapa JamiiForums ) kwakuwa Naupenda mno huu Mtandao na Wenyewe pia Umeniheshimisha sana.
 
Sijawahi kuona a Bogus Media kama ya Tanzania na ndiyo maana Ninaidharau mno.

Haya Matukio ya Mauwaji huko Mlandizi na Kibaha naambiwa sasa yana Wiki ya Tatu au Mwezi ila hayaripotiwi lakini Simba Mnyama Kafa leo kila Media imemfanyia Coverage utadhani ana Umuhimu kuliko Binadamu / Mtanzania anayekamuliwa Kodi ya kila aina.

Hovyo kabisa.....!!!!!!
Wanajua ila wanapewa onyo mapema

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hii operation ya kuwaua wauza mkaa mbona wameianza muda tu takribani miezi3 sasa walimuua jirani yetu mmoja almaarufu kunguru jamaa alikuwa mwendesha boza ya mkaa.
Tulipigiwa simu na wasamalia wema kuwa kuna mwendesha pikipiki kapata ajali pande za msoga ila tumefika eneo la tukio pikipiki na mkaa vyote vipo salama ila mwili wa marehemu ulikuwa umepigwa na kitu kizito utosini.
Asante kwa Ushuhuda huu Kuntu kabisa Mkuu kwani kuna Watu walidhani GENTAMYCINE naongopa au nimekurupuka na hii Taarifa.

Hata hivyo nawe pia Nakulaumu Mkuu kumbe ulikuwa unalijua hili three months ago na kwamba ni Operation ya Kuua na Kuwatoa Utumbo Wakaidi dhidi ya Askari Maliasili sasa mbona hukuitoa hapa JamiiForums ili litatuliwe mapema na ikiwezekana liishe?
 
Back
Top Bottom