GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
Hili nalo Neno Mkuu. Ila Wanadondoka kama Inzi huko Mlandizi na Kibaha ( Coast Region )Watafanya nini sasa ikiwa hawaijui kesho yao?
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakary Kunenge najua kama Boss Kubwa wako Rais Samia bila Kutusoma hapa JamiiForums hana raha na naamini hata Wewe pia unatusoma / unanisoma hivyo nakuomba liingilie hili Kati upesi sana kwani kwa sasa hali huko ni mbaya.