Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
غبي
انت مجنون
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
انت مجنون
Nimeongopa?Tafadhali ndugu !!!
انت ولد عير شعي,
إبن زنا وحد
Ndo maana nimesema hukijui, kile huwezi tumia kula chakula, ile huongezwa kwenye nyama iliyopikwa, yakuchoma au kukaangaKinyes* cha ng'ombe
kwamba kumwaga damu lazima marehemu ATOKE DAMU????? 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 daa nimechekaa kinoma..Mimi sijahusisha suala hilo ila nimehusisha matumizi ya lugha, kuua sio lazima damu imwagike, mfano mtu akipoteza damu kwenye ajali na baada ya kutibiwa akarudishwa nyumbani watu tutasema jamaa huyo alimwaga damu katika ajali sasa jiulize; je alikufa??.
Hao wauza mkaa unatakiwa useme wameuawa kwa kumwaga damu kupitia risasi lakini sio kusema tu kwamba wamemwaga damu kwa maana kwamba wameuawa, hayo yatakuwa ni matumizi mabaya ya lugha.
Mimi sijifanyi najua bali najua haswaa.
Wewe ni wa huko au umesikia tu?Ndo maana nimesema hukijui, kile huwezi tumia kula chakula, ile huongezwa kwenye nyama iliyopikwa, yakuchoma au kukaanga
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Nakijua bana, nilipoenda Nyamongo niliona. Walipochinja ng'ombe wakatoa hiyo kichuri. Sijui neno sahihi huwezi ita kinyesi sababu bado kilikuwa ndani. Wakachanganya na nyama nimeshakumbuka japo ni muda sana. HIMARSNdo maana nimesema hukijui, kile huwezi tumia kula chakula, ile huongezwa kwenye nyama iliyopikwa, yakuchoma au kukaanga
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
kwamba kumwaga damu lazima marehemu ATOKE DAMU????? 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 daa nimechekaa kinoma..
mkuu achana na story za damu kutoka ukisikia KUMWAGA DAMU MAANA AKE MTU KAULIWAA unaweza kuuliwa bila hata damu kutoka kwani lulu alivyomsukuma kanumba damu ilimwagika?? lakini lulu tunasema alimwaga damu kweny kesi ya kanumba.Mtu akifa maji (akifa ndani ya maji) au akinyongwa au hata kujinyonga kwa kamba hapo utasema damu imemwagwa??
Kumwaga damu (blood shed)
ni tukio linalohusisha umwagikaji damu na sio lazima katika tukio hilo vifo vihusike, mfano watu wapigane kwa kutumia visu na mapanga hapo tutasema hilo ni tukio la umwagaji damu (the Bloodshedding event) ambalo litasababisha majeruhi na hata vifo, sasa ndio maana nasema kumwaga damu ni tofauti na kufa kwani mtu anaweza kufa bila kumwaga damu na mtu anaweza kumwaga damu na asife. Kumwaga damu ni "bloodshed" na kifo ni "death"
"Bloodshed is not death"
mkuu achana na story za damu kutoka ukisikia KUMWAGA DAMU MAANA AKE MTU KAULIWAA unaweza kuuliwa bila hata damu kutoka kwani lulu alivyomsukuma kanumba damu ilimwagika?? lakini lulu tunasema alimwaga damu kweny kesi ya kanumba.
Askari wa bongo Wana shabaha kinoma Kama ulikua hujui
ukisema blood shedding alafu no death hapo ndo tutapishanaa...huwezi sema umemwaga damu alafu mtu hakufa sio sahihi.Hiyo inaongelewa "Colloquially" kwamba kumwaga damu ni kuua mimi hapa siongelei Colloquially bali naongelea kiuhalisia wa mambo na ndio maana hata nimetumia lugha ya kiingereza kuonesha nini maana ya kumwaga damu (Bloodshedding) na nini maana ya kifo (death), hivyo ni vitu viwili tofauti vinavyoweza wakati fulani kufungamana.
ukisema blood shedding alafu no death hapo ndo tutapishanaa...huwezi sema umemwaga damu alafu mtu hakufa sio sahihi.
Mi najua, naijua Musoma yoteWewe ni wa huko au umesikia tu?
Kichuri ni mchanganyiko wa nyongo na kinyesi kidogoNakijua bana, nilipoenda Nyamongo niliona. Walipochinja ng'ombe wakatoa hiyo kichuri. Sijui neno sahihi huwezi ita kinyesi sababu bado kilikuwa ndani. Wakachanganya na nyama nimeshakumbuka japo ni muda sana. HIMARS