Kama una Ndugu au Mpenzi anafanya Biashara ya Magendo ya Mkaa Mlandizi na Kibaha mwambie aache kwani Askari Maliasili wa huko sasa hawatanii

Mimi sijahusisha suala hilo ila nimehusisha matumizi ya lugha, kuua sio lazima damu imwagike, mfano mtu akipoteza damu kwenye ajali na baada ya kutibiwa akarudishwa nyumbani watu tutasema jamaa huyo alimwaga damu katika ajali sasa jiulize; je alikufa??.

Hao wauza mkaa unatakiwa useme wameuawa kwa kumwaga damu kupitia risasi lakini sio kusema tu kwamba wamemwaga damu kwa maana kwamba wameuawa, hayo yatakuwa ni matumizi mabaya ya lugha.

Mimi sijifanyi najua bali najua haswaa.
kwamba kumwaga damu lazima marehemu ATOKE DAMU????? 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 daa nimechekaa kinoma..
 
daah ndo maan siwaoni siku hizi wakipita na pikipiki huku kimaraa... daah mambo magumu haya kumbe kuna namna wanaondolewaa kimya kimya Mungu azirehemu rohoo zao faida yenyewe ya elfu 15 kwa gunia linakutoa rohoo. Umaskini kitu kibaya sana hata kwenu unakuwa mtumwa.
 
Ndo maana nimesema hukijui, kile huwezi tumia kula chakula, ile huongezwa kwenye nyama iliyopikwa, yakuchoma au kukaanga

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Nakijua bana, nilipoenda Nyamongo niliona. Walipochinja ng'ombe wakatoa hiyo kichuri. Sijui neno sahihi huwezi ita kinyesi sababu bado kilikuwa ndani. Wakachanganya na nyama nimeshakumbuka japo ni muda sana. HIMARS
 
kwamba kumwaga damu lazima marehemu ATOKE DAMU????? 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 daa nimechekaa kinoma..

Mtu akifa maji (akifa ndani ya maji) au akinyongwa au hata kujinyonga kwa kamba hapo utasema damu imemwagwa??

Kumwaga damu (blood shed)
ni tukio linalohusisha umwagikaji damu na sio lazima katika tukio hilo vifo vihusike, mfano watu wapigane kwa kutumia visu na mapanga hapo tutasema hilo ni tukio la umwagaji damu (the Bloodshedding event) ambalo litasababisha majeruhi na hata vifo, sasa ndio maana nasema kumwaga damu ni tofauti na kufa kwani mtu anaweza kufa bila kumwaga damu na mtu anaweza kumwaga damu na asife. Kumwaga damu ni "bloodshed" na kifo ni "death"

"Bloodshed is not death"
 
mkuu achana na story za damu kutoka ukisikia KUMWAGA DAMU MAANA AKE MTU KAULIWAA unaweza kuuliwa bila hata damu kutoka kwani lulu alivyomsukuma kanumba damu ilimwagika?? lakini lulu tunasema alimwaga damu kweny kesi ya kanumba.
 
Hiyo operation ifanyike nchi nzima misitu yetu inaisha sababu ya watu wachache wasiotaka kufuata utaratibu,biashara ya mkaa haikatazwi ila fuata utaratibu.
 
mkuu achana na story za damu kutoka ukisikia KUMWAGA DAMU MAANA AKE MTU KAULIWAA unaweza kuuliwa bila hata damu kutoka kwani lulu alivyomsukuma kanumba damu ilimwagika?? lakini lulu tunasema alimwaga damu kweny kesi ya kanumba.

Hiyo inaongelewa "Colloquially" kwamba kumwaga damu ni kuua mimi hapa siongelei Colloquially bali naongelea kiuhalisia wa mambo na ndio maana hata nimetumia lugha ya kiingereza kuonesha nini maana ya kumwaga damu (Bloodshedding) na nini maana ya kifo (death), hivyo ni vitu viwili tofauti vinavyoweza wakati fulani kufungamana.
 
ukisema blood shedding alafu no death hapo ndo tutapishanaa...huwezi sema umemwaga damu alafu mtu hakufa sio sahihi.
 
Back
Top Bottom