Kama una ndugu yako amekufa lakini bado anaishi njoo hapa

Kama una ndugu yako amekufa lakini bado anaishi njoo hapa

Kuna watu wana Ndugu zao wanaishi nao Majumbani lakini tiyari wamekufa je mnajua Mnabidi kufanya Nini ??
Hizi ndio aina za vifo
Kifo cha mapenzi ( no more love)
Kifo cha hisia (senseless)
Kifo cha kukata tamaa ( giving up)
Kifo cha kufilisika (Bankrupt)
Kifo cha kiimani (Spiritual death)
Kifo cha kutojikubali (self denial)
 
Hizi ndio aina za vifo
Kifo cha mapenzi ( no more love)
Kifo cha hisia (senseless)
Kifo cha kukata tamaa ( giving up)
Kifo cha kufilisika (Bankrupt)
Kifo cha kiimani (Spiritual death)
Kifo cha kutojikubali (self denial)
Je upo uwezekano wa kufufua ama kufufuka
 
Huko kwenu uhayani ndiko kuna tabia za wanawake wa kihaya kuwapa wanaume zao maji ya maiti na nyama zinazofichwa kwenye uchi ( kum*) mwisho wa siku wanaume wengi huwa kama divi la mkazuzu, fara, boya na jitu pumbafu...
 
Wamekufa lakini bado wanaishi maana yake ni kuwa anapumua,anakula na anaenda chooni lakini hajielewi na wala haeleweki kwenye jamii...mimi nakumbuka baba yangu aliwahi kuwachukia ndugu zake wote pamoja na wanae baadhi mtu wake wa karibu akawa ni mkewe sasa ukiangalia kwa uhalisia huu kama sio uchizi ni nini!.....yaani unawachukia mpaka watu wakaokuuguza ukiwa hoi kitandani....unawachukia mpaka watu watakaochimba kaburi kukusitiri....
 
Kama ndiyo hivyo jinsi Mshana amefafanua...tupo na tunao wengi..tnasubiri mwendelezo ndugu mwandishi.
 
Back
Top Bottom