DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Kuna watu wana ndugu zao wanaishi nao Majumbani lakini tiyari wamekufa Je, mnajua mnabidi kufanya nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi ndio aina za vifoKuna watu wana Ndugu zao wanaishi nao Majumbani lakini tiyari wamekufa je mnajua Mnabidi kufanya Nini ??
Inategemea na aina ya kifoTunafanyaje sasa
Kufa Ni kufa overHizi ndio aina za vifo
Kifo cha mapenzi ( no more love)
Kifo cha hisia (senseless)
Kifo cha kukata tamaa ( giving up)
Kifo cha kufilisika (Bankrupt)
Kifo cha kiimani (Spiritual death)
Kifo cha kutojikubali (self denial)
Je upo uwezekano wa kufufua ama kufufukaHizi ndio aina za vifo
Kifo cha mapenzi ( no more love)
Kifo cha hisia (senseless)
Kifo cha kukata tamaa ( giving up)
Kifo cha kufilisika (Bankrupt)
Kifo cha kiimani (Spiritual death)
Kifo cha kutojikubali (self denial)