Nyota yangu
Senior Member
- Feb 22, 2026
- 166
- 365
Watu wenye nyota ya ng'e ni watu wote waliozaliwa kati ya tarehe 23 oktoba mpaka tarehe 21 Novemba
Kama unataka kufanikiwa kwenye jambo lako hasa linalohusu uchumi na kuvutia pesa kwako jizoeshe kujitamkia maneno yafuatayo mara kwa mara, sema :
1. Ninapokea na ninaikubali hela yoyote au zawadi yoyote ambayo sikuwa naitarajia au kuitegemea
2. Hela ninayoihitaji tayari ipo njiani kuja kwangu kutoka kwenye chanzo chochote.
Ni hivyo tu.
Tamka manuizi haya mara kwa mara kila siku na hutachelewa kuona Mabadiliko kwenye maisha yako.