Wewe mbona hiyo nyota yako haijakupa hizo hela mpaka unakuja kutaka kukomba buku 5 za wahangaikaji hapa?
Wenzetu wapo kwenye mambo ya sayansi na teknolojia,sisi ndio kwanza tunarudi nyuma enzi za zama za mawe kwenye mambo ya siujui nyota!
Dogo fanya kazi,hela haipatikani kirahisi hivyo.