Kuna comment mahala flani nimeandika huyu Rpc wa Dar kama anajenga jirani na kiwanja chako Bora ukiuze hicho kiwanja!Huo ndio ushari
Usipangishe polisi
Nyumba yako itageuka laana
DuhHuo ndio ushari
Usipangishe polisi
Nyumba yako itageuka laana
Kambini kwenu hukoo,,Mnataka mapolisi tukaishi wapi jamani wapendwa?
Police ni watu wa kujiweka nao mbali sana. Katika hali ya kawaida mwanadamu wa Tanzania hapaswi kuwa na mahusiano ya karibu na policeHuo ndio ushari
Usipangishe polisi
Nyumba yako itageuka laana
Usioe, usiolewe na PolisiHuo ndio ushari
Usipangishe polisi
Nyumba yako itageuka laana
Stop it brother mdukuziHuo ndio ushari
Usipangishe polisi
Nyumba yako itageuka laana