Kama una nyumba usimpangishe askari polisi ataleta laana nyumbani kwako

Kama una nyumba usimpangishe askari polisi ataleta laana nyumbani kwako

Watu wanaona utani, lakini Wananchi wengi tumeumia, mioyo inavuja damu. Leo nimeona ni jinsi gani watu wamechafukwa na haya yanayoendelea.

Tuombee hizi hasira ziishie kwenye mitandao, watu wakivaa ujasiri wa lolote liwalo, tutaongea mengine. Undugu ungekuwa unavunjika haki ningeuvunja na my bro. 🥹🥹🥹😓
 
Ukikuta nyoka na polisi wanahitjai msaada saidia nyoka ila so polisi mbwa hawa tena pale maturunai OC-CID hawa yule na OCS zile mbwa zitakufa kama kuki washenzi wale nawalaani leo mpk siku ya mwisho
 
Kazi ya laana sana ile. Kutumwa kwenda kudhulumu maisha ya watu, tena watu wanaotaka haki
 
Back
Top Bottom