Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Kwahiyo wewe unachukia kwasababu mtu kasema msikitini watu wanapata msaada kwa urahisi kuliko kanisani? Kwani hatuna makanisa na msikiti huku mitaani mpaka ukasirike? Nadhani utakua na tatizo la akiliDini zimetufanya Wabongo kuwa Mazumbukuku kama vile kuja nyuzi zimepwaya katika bongo zetu.
Kwanini usiseme utapata msaada mitaani kwenye Jamii inayokuzunguka bila kuhusisha dini yoyote?
Mbona kitaa tunasaidiwa hata na Wapagani?
Waafrika tulilogwa na nani kuhusu hizi dini?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Acha uongo wewe hao wapagani ulikutana nao wapi?Mbona mi mwenyewe niliwahishuhudia Muislam akipewa msaada wa fedha za matibabu toka kwa Wakristo na Wapagani Muhitaji akiumwa mguu kwa majirani hadi alishukuru akisema amesaidiwa sana sana makanisani na mitaani kuliko misikitini?
Mbona sikujumuisha Waislamu wote si watoaji misaada tokana na yule Muhanga mmoja tu?
Ondokeni kwenye utumwa wa akili za dini za Wakristo na Waislamu, pevukeni kimaarifa kuleta zaidi amani na upendo katika jamii.
Paganism ndio dini gani?Yani kuna dini inajiona iko sahihi sana kwa kudharau dini zingine huku ikijisifu ni dini ya haki kuliko zingine zote.
Kwa akili za kuzaliwa mwenye hekima anapaswa kutoka nnje ya boksi ajiulize ni kweli dini zingine kama Hinduism, Rastafarians, Paganism, Buddhism na wengine wote wasioishi katika imani za kidini wataadhibiwa na Mungu kwa kutoabudu hiyo dini au kutotenda mema kwa kuuishi upendo kwa Binadamu wenzao?
Mara dini hii ina Wanawake wenye maadili bora sana kwenye ndoa, mara maandiko yake ni sahihi hayana kasoro zozote kuliko maandiko ya dini zingine, mara oooh waumini wake ni watakatifu sana kuliko waumini wa dini zingine, kwani ni malaika hadi wasiwe na kasoro?
Kwa upeo wa kawaida utaona kabisa hakuna kitu kama hicho la sivyo huyo Mungu atakuwa ni katili kuliko hata Shetani.
Wakoloni walituweza sana kutupumbaza na hizi dini za kuletewa, itatugharimu hata miaka 1000 Waafrika kutoka kwenye huu utumwa wa kidini.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
[emoji1787] Miaka hiyo Nipo Mwanza naona wanapita hao na mwili wao sijui alitokea wapi yule Askari magereza naona nae kajichomeka na uniform zake akakamata mzigo wa katoto kabeba kama hatua 10 hivi akadaka mwingine tenaIla waislam bwana, naona sijui ndo dini yao
Maeneo ya mjini wakiona jeneza linapita unasikia " ngoja tukapate dhawabu" apo anaunga tela
Kwann mtu asiishi maisha ya UHALISIA ?!!!Ila waislam bwana, naona sijui ndo dini yao
Maeneo ya mjini wakiona jeneza linapita unasikia " ngoja tukapate dhawabu" apo anaunga tela
Acha kulichafua kanisa wew unaingia Bila kuwasiliana na mliziNote
Unahaki ya kumnyima mtu msaada sio dhambi au kosa ila usidhalilishe utu wake kama hauna nia au hutaki kumsaidia
Upendo wa kweli unapimwa kwa watu usiowajua unawatreat vip usiowajua wanapohitaji msaada wako na sio unaowajua
Kuna mwaka nilipitia msoto mkali nilikua mitaa ya ITV nikasema ngoja niende kanisa la lutheran lililopo karibu na ITV linaitwa usharika wa Mwenge.
Nikaingia pale ila sikumuona mlinzi nikamuona mmama upande wa kushoto nikamfuata kumbe kule ndo kuna ofisi za mchungaji nikamfuata akaniambia mchungaji.
Tukaongea wewe baada ya mazungumzo to be honest nilikua sina hata mia mfukoni akampigia mlinzi kwa pembeni akaongea nae baada ya muda akaniambia nimfuate mlinzi yaani yule nilimuomba tu nauli nilikua nimebanwa ila hakunisaidia japokua anafanya kazi kwenye ofisi ya mchungaji to be honest ana roho ngumu sana.
Nilipomfuata mlinzi akaanza nifokea nikamuomba samahani kwa kuingia bila kumjulisha eeh bwana akaendelea kunifokea tena kwa sauti nikamwambia hata kama nina shida usidhalilishe utu wangu nikaondoka.
Nilichojifunza ni ngumu sana kupata msaada kwenye kanisa la KKKT kama hawakujui yaani makanisa yao sio nyumba ya Mungu anymore.
Baraka za Mungu zipo katika maeneo madogo madogo na usiyoyatarajia mfano anaweza akaja mtu smart akakuambia hana hela ya kula wewe utambeza na hutampa ila ndo umesakosa baraka za Mungu hivyo
Sasa wee mlizi asiye kuwa na taaluma yoyote ndio akufanye usiende kanisani mbna una shida binafsiNdo maana europe makanisa hayana watu sitakaa nimsahau yule mlinzi hivi unamfokeaje mtu mwenye shida
Nilijiuliza utu uko wapi
Tokea siku hiyo nikasema sitakaa nikanyage kanisani mpaka sahivi sina dini tena
Bora hata Dr umeshtukia huyu tapeliUmezunguka sana kumbe lengo lako ni kutetea upagani, mbona wenzako kina Kiranga wapo wazi hawajifichi?
Bas ungetoka pale ungenda Roma Catholic ndio uje kuandika hapaMimi nilishangaa kwa kufokewa kwa mimi kuomba msaada kama kwako wewe mtu kuomba msaada unamfokea ni sawa basi una moyo wa kipekee
Bro shida ni sehemu ya maisha ya mwanadamu unaweza ukawa una hela lakin unashida ya magonjwa
Na mtu kukuomba shida sio kosa
Mkuu mimi baba yangu mpaka leo ni mzee wa kkkt tokea miaka ya 1970's na mimi ni muumin wa kanisa la kkkt mpaka leo ni ngumu sana kukusaidia kama hawakujui
Acha makasiriko wewe mvaa rozari, kitimoto ni Haramu na na najisi hata kama unapenda.Ubatili utabaki kuwa ubatili.Hata mimi nakubali kuwa wapo waislam wengi wanaojali Utu na hata mimi nilishasaidiwa sana na Jamaa mmoja na sasa tunasaidiana bila kujali dini zetu
Lakini unapoanza kukunja kanzu na kujifunua kuacha kundu nje hapo unapoita wala kitimoto
Unaanza kashfa ambazo zitakuponza muda c mrefu...matusi tunayajua
Sawa Sheikh...?
Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
Sasa msikitini kuna nn cha kujisevia??? Hujui kuna makanisa wanatunza vyombo vya gharama vya kusevia madhabahu? Au Umewahi kusikia msikitini kumevunjwa na kuibiwa km ilivyo makanisani?? Je ukiacha watu walale kiholela unaziaminije nia na dhamira zao???Ila twende mbele turudi nyuma, ndugu zetu wafilisti wana utu sana, unaweza kupata hifadhi ya kulala msikitini kuliko kanisani na huo ndo ukweli
Nimeshuhudia misikiti mingi watu wanalala asubuhi wanaenda kujitafuta ila sio makanisani
Sadaka sio kwa ajili ya wanaohitaji nauli mkuu.Kuna point gani ya waumin kutoa sadaka kama mtu hata kanisa linashindwa mpa hata nauli
Ndo maana kutoa michango/sadaka nilishaachana nayo mda sana kwa mambo kama haya
Tasisi za makanisa sio kwa ajili ya kusaidia watu kama watu wanavyo aminishwa heti makani yanatoa huduma kwa jamii bali makanisa yako kibiashara ayajali mtu wala awaangalii suru huna hela hata kama umevaa msalaba tena mlefu shingoni unao fika magotini tena wenye kinyago cha yesu kama huna hela hata uwe unaumwa umekalibia kufa awakuangalii watamuangali muisilamu alie vaa kanzu na hela yake mkononiNote
Unahaki ya kumnyima mtu msaada sio dhambi au kosa ila usidhalilishe utu wake kama hauna nia au hutaki kumsaidia
Upendo wa kweli unapimwa kwa watu usiowajua unawatreat vip usiowajua wanapohitaji msaada wako na sio unaowajua
Kuna mwaka nilipitia msoto mkali nilikua mitaa ya ITV nikasema ngoja niende kanisa la lutheran lililopo karibu na ITV linaitwa usharika wa Mwenge.
Nikaingia pale ila sikumuona mlinzi nikamuona mmama upande wa kushoto nikamfuata kumbe kule ndo kuna ofisi za mchungaji nikamfuata akaniambia mchungaji.
Tukaongea wewe baada ya mazungumzo to be honest nilikua sina hata mia mfukoni akampigia mlinzi kwa pembeni akaongea nae baada ya muda akaniambia nimfuate mlinzi yaani yule nilimuomba tu nauli nilikua nimebanwa ila hakunisaidia japokua anafanya kazi kwenye ofisi ya mchungaji to be honest ana roho ngumu sana.
Nilipomfuata mlinzi akaanza nifokea nikamuomba samahani kwa kuingia bila kumjulisha eeh bwana akaendelea kunifokea tena kwa sauti nikamwambia hata kama nina shida usidhalilishe utu wangu nikaondoka.
Nilichojifunza ni ngumu sana kupata msaada kwenye kanisa la KKKT kama hawakujui yaani makanisa yao sio nyumba ya Mungu anymore.
Baraka za Mungu zipo katika maeneo madogo madogo na usiyoyatarajia mfano anaweza akaja mtu smart akakuambia hana hela ya kula wewe utambeza na hutampa ila ndo umesakosa baraka za Mungu hivyo
Wewe unayebinulia makalio wenzio wakati wa kuabudu ndio unishauri kuhusu kitimoto....mbn hukumshauri Mwamedi kuhusu uchi wa mtoto?Acha makasiriko wewe mvaa rozari, kitimoto ni Haramu na na najisi hata kama unapenda.Ubatili utabaki kuwa ubatili.
Uharamu ulianza na Marioo Muhammad wa makaAcha makasiriko wewe mvaa rozari, kitimoto ni Haramu na na najisi hata kama unapenda.Ubatili utabaki kuwa ubatili.
Ukihitaji msaada wa kiroho kanisani utaupata,ni upumbavu kwenda kanisani kuomba msaada wa kipesa.Tasisi za makanisa sio kwa ajili ya kusaidia watu kama watu wanavyo aminishwa heti makani yanatoa huduma kwa jamii bali makanisa yako kibiashara ayajali mtu wala awaangalii suru huna hela hata kama umevaa msalaba tena mlefu shingoni unao fika magotini tena wenye kinyago cha yesu kama huna hela hata uwe unaumwa umekalibia kufa awakuangalii watamuangali muisilamu alie vaa kanzu na hela yake mkononi
Sio kweli yani ulikua umetega msikitini kusubiri nani atapewa msaadaHapana mimi kwa experience nimewahi kuona mtu mkristo akipewa msaada msikitini jirani na napoishi.