The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Na ukimuona asiyekuwa muislam anamzika asiyemjua huyu tunamuitaje?Mojawapo ya wajibu wa Muislam kwa muislam mwenzie ni kumzika pale anapofariki. Hivyo unapomuona muislam anashiriki kwenye mazishi ya mtu asiyemjua basi ujue anatimiza wajibu wake kama muislam