Kama una sifa hizi basi huwezi kutegemewa, sitisha hata kuwa na familia

Kama una sifa hizi basi huwezi kutegemewa, sitisha hata kuwa na familia

Namna umeshtuka na kukubaliana na mleta mada hapo ndipo nilipoona kuna hoja ya kujibiwa.
😂😂😂 Ndio mitabia yake hiyo halafu anajikuta saint shenzy zake
 
Majibu ya nguvu na magumu hujibiwa kwa wakati sahihi. The day will come....
When? I don't know
At what time? I don't know

BUT, get ready...!!
 
🤣🤣🤣🤣 Nimecheka sana.!!

Yesu nitie nguvu, nimalize mwendo salama.
Peke yangu siwezi baba, ohhh!! Aleluya!!
Zemanda umeniletea kazi ndugu yangu 😂😂😂
 
Back
Top Bottom