[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]TBT kule primary:
Andika insha ukianzia na........
*Nilipofika nyumbani, nilipata mama
amepigwa na butwaa...... (endelea)*
....nikakimbia mpaka kwa akina
butwaa.Nikamuuliza "Butwaa,mbona umepiga mamangu?" Nikampiga butwaa
mpaka akatokwa na damu.Hapo ndipo
niligundua damu ni mzito kuliko maji!!! [Emoji23][emoji23][emoji23]wat was wrong with us
Nadhani ulikuwa na cha shimo, sasa hivi jenga cha sinkNimeenda hosipitalini kupimwa ugonjwa, matokeo yanakuja docta ananiambia eti choo changu ni mbaya... saizi nipo najenga nyingine, sipendangi ujinga mimi
OkeyEndelea kusoma stress itaisha mgonjwa mwenzetu mi mpka kufikia kwenye post ya kwako nishaanza kupata nafuu!
Wengine utasikia wanasema,,, wahenga walisema "kadri unavozidi kupanua ndio wanavozidi kutamani"Huwezi amini miaka ijayo na sisi tutaitwa WAHENGA halafu vitukuu vyetu vitasema "wahenga walisema..JAZWA UJAZWE"