sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,291
Hhahaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hujapotea kwani wewe huna stress..?
------------------------------
nimemtembelea,rafiki yangu mida ya saa saba hivi na tayari alikuwa amesonga ugali nikamtuma nje wakati anatoka nje nikaongeza maji kwenye sufuria kumbe sikujuwa alipima maji kulingana na unga uliobaki sasa hivi tunakunywa uji hatuongeleshani .
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
kumbe_wote_hatupendangi_ujinga!
Nmechekaaa mpaka basiiiMUGABE NAE KWA MAJIBU ANATISHA
SWALI:Kwanini wanasiasa wala rushwa hawaendi jela ?
MUGABE! Hii ni sawa na mbu anayeng'ata kwenye pumbu hawezi kupigwa kofi zito.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna mtu mwenye ndugu wengi kama konda wa daladala.
Utasikia,
"HAYA, DADA HAPO MBELE, MJOMBA KULE MWISHO.
MA-MDOGO UNAENDA?,
NGOJA ASHUKE BIBI.
HAYA SHEMEJI UMEIKUTA YA KUWAH.
Babu njoo ukae!
Baba angu hapo tusogee kidogo,
Shangazi maliza ngazi,
Swaiba geukia mbele,
Kaka hapo shika upande wa pili,
Mdogo wangu mpishe Ma Mkwe akae.
Subiri Shemeji yako apande…
Duh… makonda noma…!!