fredo fred
JF-Expert Member
- Oct 17, 2015
- 748
- 1,615
kila napowaza kuacha kunywa bia.....nafikiria wakulima wa ngano na vibarua wao pamoja na familia zao....pia nawawazia sana wafanyakazi wa TBL na familia zao, madereva wa malori ya bia pamoja na familia zao, wanaolipa ada za wanao na kodi za nyumba kutokana na kuendesha malori ya bia, pia nawafikiria ma bar maids na familia zao na wamiliki wa bar ambao wametoa pesa zao kuwekeza ktk uuzaji wa bia....haya yote yananigusa sana moyoni nagundua kwamba mi kutokununua bia kunasababisha watu wengne wapate maisha magumu, kufa na njaa au kutotimiza ndoto zao.....
baada ya hapo nanyenyua glass yangu ya castle lager naendelea kunywa....
sipendagi ukatili kwa binadamu wenzangu kabisa!
[emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481]
baada ya hapo nanyenyua glass yangu ya castle lager naendelea kunywa....
sipendagi ukatili kwa binadamu wenzangu kabisa!
[emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481]