Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

kila napowaza kuacha kunywa bia.....nafikiria wakulima wa ngano na vibarua wao pamoja na familia zao....pia nawawazia sana wafanyakazi wa TBL na familia zao, madereva wa malori ya bia pamoja na familia zao, wanaolipa ada za wanao na kodi za nyumba kutokana na kuendesha malori ya bia, pia nawafikiria ma bar maids na familia zao na wamiliki wa bar ambao wametoa pesa zao kuwekeza ktk uuzaji wa bia....haya yote yananigusa sana moyoni nagundua kwamba mi kutokununua bia kunasababisha watu wengne wapate maisha magumu, kufa na njaa au kutotimiza ndoto zao.....

baada ya hapo nanyenyua glass yangu ya castle lager naendelea kunywa....

sipendagi ukatili kwa binadamu wenzangu kabisa!
[emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481]
 
Gonga vitu; agiza castle lager baridi....
 
Basi utaondoka na stress..!

Stress ni nini??
Stress ni pale umeenda kijijini kwa bibi ako huku umebeba jeans zako tano zile ja mtindo wa kuchanika (chanika jeans) sasa siku ukazifua ukazianika ukaenda zako kutembea ile unarudi jioni unakuta bibi yako kazianua afu kazishona zote!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Future [emoji289]

Kuna vijimisemo vifupi vimeibuka huku kwenye mitandao kwa sasa, yaani ni full burudani!
Ukivisomo mwisho lazima ubaki mdomo wazi au ucheke, baadhi ya niliyokutana nayo naweka hapa, pia karibuni kwa wenye zaidi tuburudike pamoja!

Leo kidogo nipigwe na MWANAMKE baada ya LIFTI kusimama...wakati tupo kwenye lift Nilikua nayaangalia MAZIWA yake akasema "Bonyeza Moja"[emoji196][emoji196] mi si nikalibonyeza?
Yaani had sasa
bado najiuliza nilipokosea.

Hivi Utajisikieje Utakaposikia Rafiki Yako wa Karibu Hajaja Kwenye Mazishi Yako ???!
Nadhani Mimi Sitamwongelesha Tena !!!! [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
I think nakaribia kupona

Nimenunua chips ili nile kwa bahat mbaya mtoto wa mama mwingine amekaa next to me akaanza kuzililia.
Imebidi nivae earphones. [emoji19]Napenda watoto, ila utoto ndio sipendi..

Jana nimepita njia ya mkato makaburini warembo wawili wakawa wananikimbilia wanatetemeka Eti tunaogopa kupita peke yetu na mm Nikawajibu hata mm nilivyokuwa hai nilikuwa naogopa sana . Wakazimia
Sipendagi kufatwa fatwa mm[emoji57][emoji57][emoji57]

mkuu umesema watu wenye stress tupitie hapa

Kwani hujatu100 kinga?
 
Dah!! Leo nimesikitika sana, yaani sanaa.

Ninaamka asubuhi nasikia washikaji kijiwe cha jirani eti Kinyozi wa mtaa wa jitani amekamatwa kwa kesi kuuza madawa ya kulevya. Mimi ni mteja wake kwa miaka minne na sijajua kwamba jamaa ni kinyozi.
Jamaa ananificha hata mimi...
 
Ni asubuhi na mapema siku ikiwa ndio kwanza inaaza, upo kitandani unatafakari ni vp siku itakwenda mara unasikia mlangoni kwako kuna mtu anabisha hodi, wakati unaamka ukaone nani kabisha hodi unajigonga na kabati, ile unanyanyuka unaanza kutembea utoke nje unajikwaa na kitanda, unatoka nje ile unasindika mlango wa chumbani unajibana na mlango, kufika sebuleni nako unajikwaa na glasi inavunjika, unafungua mlango wa nje unakutana na jamaa anajichekesha na kusema kaka/dada tuna sabuni za urembo[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125]
 
Pana jamaa yangu alikwenda Mbeya kikazi sasa hotel aliyofikia asubuhi wanatoa kifungua kinywa ni sehemu ya malipo yako ya malazi sasa yupo katika chumba cha maakuli dakika ishirini hajahudumiwa akawa ana muhoji mtu mzima mmoja ambae ndio msimamizi yule mzee kwa upole kabisa akamwambia "kijana unashughulikiwa "jamaa yangu akataka kuwaka kisha akakumbuka aah bahati yako mzee tupo mbeya ungekuwa pwani pangechimbika hapa.
 
Ni asubuhi na mapema siku ikiwa ndio kwanza inaaza, upo kitandani unatafakari ni vp siku itakwenda mara unasikia mlangoni kwako kuna mtu anabisha hodi, wakati unaamka ukaone nani kabisha hodi unajigonga na kabati, ile unanyanyuka unaanza kutembea utoke nje unajikwaa na kitanda, unatoka nje ile unasindika mlango wa chumbani unajibana na mlango, kufika sebuleni nako unajikwaa na glasi inavunjika, unafungua mlango wa nje unakutana na jamaa anajichekesha na kusema kaka/dada tuna sabuni za urembo[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu utajikwaaje mara nyingi hivyo?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu utajikwaaje mara nyingi hivyo?
Ndugu nothing can be impossible under the sun, nilishwawahi kujigonga na ukuta, kujing'ata ulimi, kujikwaa hadi kucha kung'oka, kukanyaga chupa na kujikata wembe at the same day hadi nikajihisi nina mkosi. Inategemea na siku inavyokuwa mbaya kwako.
 
Hahaha.... Nacheka kama mazuri! Pole sana

Aisee! Ilibidi ukaombewe fastaaa! Huo ulikua mkosi...
 
Back
Top Bottom