Mwana unapatikana wapi nije tuvute wote?[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23], Inaonekana kitu cha Malawi [emoji377]*Wengi mlikua hamjui maana ya neno BANGI, Sasa leo ngoja niwape Elimu kidogo kuhusu hii kitu*.
*BANGI* ni jani la mgomba linalochanua kwenye mbuyu kupitia treni kabla hujaumwa kwenye mafuta ya samaki na kupokea injini ya baiskeli iliyopita angani na mvua ikawaka juu ya jua.
Asanteni kwa kunielewa..!!
Sasa hii ndo Bangi
hehehhee ni food chain tu except hapa wanakulana watu tu*BOSS anamwambia sekretari wake*:
*Wiki hii tutaenda wote Serena Hotel kwenye mkutano fanya mipango yote.*
SEKRETARI (anamuaga mumewe):
Tunaenda na bosi Serena hotel kwenye mkutano for 1 week.
MUME (anampigia mpango wa kando):
Mambo safi, wife anaenda kikazi Serena, jitayarishe tujipe raha for 1 week
(Mpango wa kando) anamwambia mwanafunzi wake wa tution:
wiki hii nina kazi fulani hakuna tution mpaka week ijayo.
MWANAFUNZI anampigia simu sugar daddy wake ambaye ndo (BOSS):
Dear hakuna tution wiki hii nakuja kwako.....
BOSS anamwambia sekretari wake:
Siendi Serena tena coz mjukuu wangu atanitembelea.
SEKRETARI: Mume wangu hatuendi Serena
MUME (anampigia Mpango):
dah! mpenzi, huyu fala haendi tena. Shit! So hadi next time plz
Mpango wa kando a.k.a teacher (anampigia mwanafunzi):
Darasa kama kawaida sorry for the earlier message.
MWANAFUNZI: darling tution
inaendelea kumbe, so nakuja wiki ijayo!!
BOSS: Sekretari sorry jitayarishe ile safari ya serena iko palepale......
HOW DO YOU HELP THESE PEOPLE?
*Mnasemanga Food chain mnakosea hii sijui tuiite nini???*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mchaga katishaMWACHE MCHAGGA AITWE MCHAGGA
Jamaa mmoja toka kiboriloni alienda Benki na kuomba mkopo wa shilingi 200,000 ili asafiri kwenda Dar. Ofisa mikopo akamwambia lazima ajaze fomu fulani na awe na kitu cha kuweka dhamana. Mdau akajaza fomu kisha akakabidhi funguo za benzi yake aliyokuja nayo pamoja na nyaraka za umiliki wake kwa meneja. Ofisa mikopo akaiingiza gari kwenye yadi ya benki na kumpa mchagga laki mbili yake. Kilichomshangaza meneja wa benki ni kuwa benzi ile ina thamani ya Milioni 255,000,000 na kuwa iweje mwenye gari kama hii amekosa 200,000. Baada ya wiki 2 mchagga akarudi na kurejesha mkopo wote pamoja na riba ya shilingi 15,000. Afisa mikopo akafurahi lakini akamuuliza, inawezekanaje una gari la thamani hivi na ukaangaika kupata mkopo wa shilingi laki 2? Mchagga akamjibu, Ni wapi hapa Moshi utapata mahali salama kupaki gari yako kwa wiki mbili kwa kodi ya shilingi 15,000 tu?
Kijana katishaPadri m1 alipotea mjini akamuuliza kijana m1 ;naomba unifahamishe wapi ilipo posta kijana akamfahamisha mpaka akakujua posta,padri akamjibu asante kwa kunionyesha njia ya na WEWE njoo kanisani nikuonyeshe njia ya peponi .Kijana akaguna akamjibu imekushinda ya posta sembuse ya peponi?
UmetishaYule Mark Zukabeg alipata hasara kwenye project ya 1.9 Billion na "he is breathing fine"
Mimi leo sijui nimeweka wapi elf kumi yangu naskia kifua kinataka kupasuka.... asthma asthma ivi...... kichwa kinagonga sana naskia pia mchanganyiko wa typhoid na malaria.... naskia hadi kulia.....
kweli life is not fair
[emoji24]
Umetisha*Inauma Sana*
*Umetumia kondom kwa kipindi chote hicho alafu unakuja kufa*
*kwa kipindu pindu.*
*Usisahau kunawa mikono ukitoka chooni*[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
UmetishaNimeenda hosipitalini kupimwa ugonjwa, matokeo yanakuja docta ananiambia eti choo changu ni mbaya... saizi nipo najenga nyingine, sipendangi ujinga mimi
UmetishaTANGAZO Kama unajijua uliwahi kutembea na mimi nakushauri ukapime na ukiona hujapata majibu sahihi mchukue na mwenzio mkarudie kupima , tena nasisitiza mkapime ,maana nakumbuka mara ya mwisho tulitembea kutoka kimara hadi chalinze so sina uhakika na umbali huo
We Endelea tu kuwaza Ujinga ujinga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] !!!! utanitoa roho!!![emoji3] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Nimelala Nikawa Naota... BILL GATE Ananiamsha.."Boss, Boss Amka Chakula Tayari"
....Eti Jaman Hii Sio Dalili Ya Malaria Kweli..??
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Urekebishiwe au unataka kuuweka mshare mkubwa?Jamani humu kuna msichana mwenye chuchu saa sita?[emoji15] [emoji15]
Nataka anirekebishie saa yangu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaahahah haya ni mambo na vijamboHahaha, huu mwezi wa valentine una maneno..!
Girl: My love namis kula kuku
Boy: Kwani wewe ni mwewe?
Hahahahahahahahahahahsiku ya valentine day hua napenda kutumia muda wangu kuwaangalia mademu wafupi waliovaa red dresses maana hua nawafananisha na kimtungi cha ORYX
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Mwanzo wa mwishoKuna jamaa aliweka picha ya ki-pikipiki chake kama whatsapp dp, halaf status akaandika "kabaya kamezeeka lakini kananifanya niishi mjini".
Jana amechange dp ameweka picha ya mchumba wake lakini akasahau kubadilisha status. Unajua kilichotokea??
[emoji23][emoji23][emoji23].!