Kambale mtoto
Member
- Jun 21, 2017
- 36
- 25
Relation chain[emoji35]*BOSS anamwambia sekretari wake*:
*Wiki hii tutaenda wote Serena Hotel kwenye mkutano fanya mipango yote.*
SEKRETARI (anamuaga mumewe):
Tunaenda na bosi Serena hotel kwenye mkutano for 1 week.
MUME (anampigia mpango wa kando):
Mambo safi, wife anaenda kikazi Serena, jitayarishe tujipe raha for 1 week
(Mpango wa kando) anamwambia mwanafunzi wake wa tution:
wiki hii nina kazi fulani hakuna tution mpaka week ijayo.
MWANAFUNZI anampigia simu sugar daddy wake ambaye ndo (BOSS):
Dear hakuna tution wiki hii nakuja kwako.....
BOSS anamwambia sekretari wake:
Siendi Serena tena coz mjukuu wangu atanitembelea.
SEKRETARI: Mume wangu hatuendi Serena
MUME (anampigia Mpango):
dah! mpenzi, huyu fala haendi tena. Shit! So hadi next time plz
Mpango wa kando a.k.a teacher (anampigia mwanafunzi):
Darasa kama kawaida sorry for the earlier message.
MWANAFUNZI: darling tution
inaendelea kumbe, so nakuja wiki ijayo!!
BOSS: Sekretari sorry jitayarishe ile safari ya serena iko palepale......
HOW DO YOU HELP THESE PEOPLE?
*Mnasemanga Food chain mnakosea hii sijui tuiite nini???*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Leo baada ya kutoka kufanya usafi KANISANI, Pastor akaona simu yangu niliyonunua LAKI 5,akaniuliza hiyo simu umenunua Bei gani?
Kwakuwa natoaga sadaka kidogo,na ZAKA ndo sijawahi kutoa,Nikamjibu nimenunua JANA,ELFU 50, akanipa LAKI MOJA,nikanunue mbili,yake na ya mke wake. Sa najaribu kumuuliza Mungu,kwanini kaamua kuniadhibu mbele ya mchungaji bila hata kunionya!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
duuuh...alafu kws hali iyo unasema ujaona mabadilko mkuu*LEO NIMEVUTA BANGI SIJAONA HATA MABADILIKO YOYOTE*
SIJUI MNAISIFIAGA NINI?
*Anyway wish u merry xmass and happy new year 2011*
♂♂♂
Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
HahahahahaDuh! nimekumbuka mbali sana uswazi kwetu miaka ilee pana sehemu nilikuwa nakula boda si unajua uswazi sasa pana mzee mmoja kauzu sana hataki watoto wacheze kwake kaandika ukutani hivi "WAZAZI KANYENI WATOTO WENU KUCHEZEA HAPA.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]_Breaking News....._ _*``Mwakyembe ndio Mnyakyusa wa kwanza kuongea na Rooney``*_
[emoji3][emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mjue Mpaka Sasa Hivi Siamini Kama Nimelala Nchi Moja Na Rooney [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums