[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu you made my day
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Popote tulipo wanaume mikono juu tafadhaliBinti mmoja mwanafunzi wa chuo akiwa ndani ya pantoni akivuka kutoka Magogoni kuelekea upande wa Kigamboni alimuona mwanaume Handsome akiwa ndani ya gari yake nzuri.
Bila wasiwasi yule binti akamfuata mwanaume yule na Kumwambia; "Hey awww you look handsome...i like you"
Yule mwanaume akiwa na wasiwasi fulani akashusha kioo cha gari kidogo kumwambia yule binti; "Mdogo wangu, mapenzi siyo kitu kizuri kwako kwa wakati huu, nakuona umetoka chuo bila shaka, wewe bado ni msichana mdogo kuwa na tabia kama hii.
Tafadhali sana nenda nyumbani au sijui Hosteli na usome kwa bidii, wachana na mapenzi soma ili uje ufanikiwe katika maisha."
Baada ya kusema hayo, Yule mwanaume akatoa note book yake na kuanza kuandika huku akisema; "Nakuandikia hapa baadhi ya maneno ya busara na muongozo katika maisha yako. Hutakiwi kuwa cheap kiasi hiki mdogo wangu. Nakuomba sana ukasome haya kabla ya kulala"
Akampa ile karatasi na kufunga kioo cha gari mpaka juu. Yule msichana alirudi Hosteli kwa aibu kubwa na usiku kabla ya kulala akafungua ile karatasi ili aisome.
Karatasi ilisomeka hivi;
"Wewe kipofu nini? Humuoni Mke wangu yupo kwenye kiti cha abiria amekilaza amelala? Hii ni namba yangu nipigie muda wowote isipokuwa asubuhi sana na usiku. Hata hivyo na mimi
nimekupenda sana. Bila shaka hautaniangusha."
WANAUME NA AKILI ZAO ZA MWENDOKASI
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Binti mmoja mwanafunzi wa chuo akiwa ndani ya pantoni akivuka kutoka Magogoni kuelekea upande wa Kigamboni alimuona mwanaume Handsome akiwa ndani ya gari yake nzuri.
Bila wasiwasi yule binti akamfuata mwanaume yule na Kumwambia; "Hey awww you look handsome...i like you"
Yule mwanaume akiwa na wasiwasi fulani akashusha kioo cha gari kidogo kumwambia yule binti; "Mdogo wangu, mapenzi siyo kitu kizuri kwako kwa wakati huu, nakuona umetoka chuo bila shaka, wewe bado ni msichana mdogo kuwa na tabia kama hii.
Tafadhali sana nenda nyumbani au sijui Hosteli na usome kwa bidii, wachana na mapenzi soma ili uje ufanikiwe katika maisha."
Baada ya kusema hayo, Yule mwanaume akatoa note book yake na kuanza kuandika huku akisema; "Nakuandikia hapa baadhi ya maneno ya busara na muongozo katika maisha yako. Hutakiwi kuwa cheap kiasi hiki mdogo wangu. Nakuomba sana ukasome haya kabla ya kulala"
Akampa ile karatasi na kufunga kioo cha gari mpaka juu. Yule msichana alirudi Hosteli kwa aibu kubwa na usiku kabla ya kulala akafungua ile karatasi ili aisome.
Karatasi ilisomeka hivi;
"Wewe kipofu nini? Humuoni Mke wangu yupo kwenye kiti cha abiria amekilaza amelala? Hii ni namba yangu nipigie muda wowote isipokuwa asubuhi sana na usiku. Hata hivyo na mimi
nimekupenda sana. Bila shaka hautaniangusha."
WANAUME NA AKILI ZAO ZA MWENDOKASI
Akili zetu zinatutosha wenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Binti mmoja mwanafunzi wa chuo akiwa ndani ya pantoni akivuka kutoka Magogoni kuelekea upande wa Kigamboni alimuona mwanaume Handsome akiwa ndani ya gari yake nzuri.
Bila wasiwasi yule binti akamfuata mwanaume yule na Kumwambia; "Hey awww you look handsome...i like you"
Yule mwanaume akiwa na wasiwasi fulani akashusha kioo cha gari kidogo kumwambia yule binti; "Mdogo wangu, mapenzi siyo kitu kizuri kwako kwa wakati huu, nakuona umetoka chuo bila shaka, wewe bado ni msichana mdogo kuwa na tabia kama hii.
Tafadhali sana nenda nyumbani au sijui Hosteli na usome kwa bidii, wachana na mapenzi soma ili uje ufanikiwe katika maisha."
Baada ya kusema hayo, Yule mwanaume akatoa note book yake na kuanza kuandika huku akisema; "Nakuandikia hapa baadhi ya maneno ya busara na muongozo katika maisha yako. Hutakiwi kuwa cheap kiasi hiki mdogo wangu. Nakuomba sana ukasome haya kabla ya kulala"
Akampa ile karatasi na kufunga kioo cha gari mpaka juu. Yule msichana alirudi Hosteli kwa aibu kubwa na usiku kabla ya kulala akafungua ile karatasi ili aisome.
Karatasi ilisomeka hivi;
"Wewe kipofu nini? Humuoni Mke wangu yupo kwenye kiti cha abiria amekilaza amelala? Hii ni namba yangu nipigie muda wowote isipokuwa asubuhi sana na usiku. Hata hivyo na mimi
nimekupenda sana. Bila shaka hautaniangusha."
WANAUME NA AKILI ZAO ZA MWENDOKASI
[emoji113]Popote tulipo wanaume mikono juu tafadhali
.......Utafiti Unaonesha Yule Mwanaume Alieanzisha Msemo Wa "Ladies First"
Hana Lolote.
Alitaka Tu Mwanamke Atangulie Ili Amuangalie Makalio...[emoji23][emoji23][emoji23]
Mtafiti Nimeamka[emoji23]
Wadau samahani msaada wa haraka tafadhali:
Ninapika pilau hapa. Sasa nimesahau kidogo. Hivi nikishaweka mahindi nini kinafuata?
Nimeisoma sana, mara ya 10 ndio nikachek mistari ya mwisho, Loooh!!!!Hivi ikitokea ndani ya week 6 umejichanganya kusema bila baba mkwe na yeye akakosa kuonekana mahabusu kujileta mbele ndio mvua ilipoanza kunyesha
Sio lazima uelewe kila kitu
Utarudia kusoma hata Mara mia
Na haitakuja kutokea_Breaking News....._ _*``Mwakyembe ndio Mnyakyusa wa kwanza kuongea na Rooney``*_
[emoji3][emoji3]
HahahaZaitun anatoka kuoga akiwa na kanga moja tu anaskia hodi, kufungua mlango akakuta ni jirani yake Fabian ambaye ni kipofu, akamkaribisha ndani akakaa, zaituni kavua ile kanga akabaki uchi akaanza kujipaka mafuta akijua Fabi hamuoni na mazungumzo yakawa ni Haya..
Zai : VIPI Fabi MBONA UMEPOTEA YAANI
HUONEKANI SIKU HIZI..?
Fabian: AH NILIENDA INDIA KUFANYIWA
OPERESHENI YA MACHO SASA HIVI NAONA VIZURI KABISA!...