Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Hahahaha hii kali dahh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lile shuka unalovishwa na kinyozi wakati wa kunyolewa!!
Husaidia kujikuna sehemu za siri bila mtu yeyote kujua!!! mambo mengine hayahitaji form six aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimekaa tu nikawaza nikajua.

Bangi mimi na wewe milele
 
Baada ya Kufanya UCHUNGUZI WANGU WA SAYANSI YA WANYAMA kwa muda wa zaidi ya Miaka 10.

Nimegundua Jambo KUU 1..

Ukimchukua MWANAUME na MWANAMKE.. Ukimkata Mwanaume kichwa chake halafu ukakiweka kwenye Mwili wa Mwanamke.. Na mwanamke nae Ukamkata kichwa ukakiweka kwenye ule Mwili wa Mwanaume..
BAADA YA DAKIKA 5 utakua Umepata Maiti mbili zilizokatwa vichwa.

Bangi usikiege tu usijaribu kuvuta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mungu alifikiri sana asee kuzaliwa kwetu binadam Kwa mfano ingekua mwanamke ataga mayai ndio tutotolewe tungekuwa wachache sana huku duniani vile wanaume tunavyo jipenda[emoji12][emoji117]ungeskia mke wang umetaga mangapi leo!![emoji12][emoji12]mke.[emoji117]ma4
Mume.[emoji117]nikarangiziee matatuu[emoji23][emoji23][emoji23]

No.[HASHTAG]#Love[/HASHTAG]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…