Magisha
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 617
- 498
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wavuta bangi watatu walivunja duka la dhahabu ili waibe.
Mmoja alichukua Dhahabu mwengine akachukua pesa wakatoroka yule wa mwisho akabaki ndani.
Mwenye duka akaja na polisi kuingia ndani wakamkuta jamaa amekaa mguu juu ya mguu
Akaulizwa:mbona hukutoroka kama wenzako?
Akajibu:mmoja amechukua dhahabu mwengine akachukua pesa nami nmechukua duka.
Sent using Jamii Forums mobile app