Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Mwanafunzi :eti mwalimu mtu anaweza kuadhibiwa kwa kosa ambalo hajalifanya?
Mwalimu :huo ni Uonevu wa hali ya juu sana na haikubaliki kabisa
Mwanafunzi :imekuwa bora sana maana ile home work uliyotupa jana sijaifanya kabisa.