Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Acheni izoo wakuu
 
-Dikteta uchwara apingwe!
Tungo chochezi.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] mi simo, [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
Tungo kurupushi wap mbn haipo
 

Attachments

*Kweli hali ngumu... Kwenye Mahospitali binafsi. Yani nimeenda hospitali kupima U.T.I wakanipa kikopo nilete mkojo.
Nikachukua nikaenda kukijaza maji safi ya Kilimanjaro afu nikakirejesha maabara. Majibu niliyopata eti Nina U.T.I
Sasa ndo najiuliza hiyo U.T.I ninayo mimi au Kiwanda cha Maji*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*

C & P
 
Litakuwa ni hilo kopo...
 
Kaka angalia lakini uvutaji wako. Ni hatari kwa afya. Ni hatari kwa usalama wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Navuta kistaarabu bab natumia hii[emoji116] [emoji116]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Kaka angalia lakini uvutaji wako. Ni hatari kwa afya. Ni hatari kwa usalama wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Navuta kistaarabu

Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…