Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

1631564baaace2125fc05216b99b29d2.jpg
[emoji115] [emoji115] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]


Jamii Forums mobile app
 
SHERIA YA NDOA NA MAHARI No123 of 2016
Mahari itakuwa Tzs 700,000 na makato yafwatayo
Hajasoma - Tzs100,000
Sio bikira - Tzs 250,000
Anakuja na watoto - Tzs 80,000 × (idadi ya watoto)
Hawezi usafi - Tzs 80,000
Hawezi kupika - Tzs 50,000
Hana shughuli ya kufanya - Tzs 70,000
Mzembe - Tzs 50,000
Mlevi - Tzs 70,000
Amepiga mkorogo -Tzs 50,000
Matako bandia - Tzs 50,000
Maziwa bandia - Tzs 50,000
Kama jumla ikiwa hasi (-) basi inabidi ulipwe kwa kuchukua mzigo wao..
No stories...
Wanaume hatupendagi ujinga kabisaa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124][emoji124]
cjui nmeitoa wapi hii

sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app
 
Daaaa nimepitia page zote mbona sijacheka aisee kama hamuwezi kuchekesha kachezeni mnapochezaga






Huwa sitaki ujinga kapisa
 
SHERIA YA NDOA NA MAHARI No123 of 2016
Mahari itakuwa Tzs 700,000 na makato yafwatayo
Hajasoma - Tzs100,000
Sio bikira - Tzs 250,000
Anakuja na watoto - Tzs 80,000 × (idadi ya watoto)
Hawezi usafi - Tzs 80,000
Hawezi kupika - Tzs 50,000
Hana shughuli ya kufanya - Tzs 70,000
Mzembe - Tzs 50,000
Mlevi - Tzs 70,000
Amepiga mkorogo -Tzs 50,000
Matako bandia - Tzs 50,000
Maziwa bandia - Tzs 50,000
Kama jumla ikiwa hasi (-) basi inabidi ulipwe kwa kuchukua mzigo wao..
No stories...
Wanaume hatupendagi ujinga kabisaa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124][emoji124]
cjui nmeitoa wapi hii

sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app
We jamaa hauko serious kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani jamani nauliza tu.

Hivi choo cha kuflash, flash yake kwenye giza inatoa picha vizuri? [emoji13][emoji13]
Inategemea na hiyo Flash yenyewe ni ya GB ngapi mkuu.. Kama ni chini ya 4 GB picha zinakuwa zimepauka kama wahenga na choo kitagoma kitakuwa haki-flashiki... [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mechi za uswazi tumepiga game mshika kibendera akaachia offside dhahiri tukakoswa goli basi timu nzima tukamfuata na kuanza kumtukana "wewe m.s.e.n.g.e nini yaani mtu kaotea weye unaachia tutakubutua "basi akawa mpole game ikaendelea ikaja offside akanyoosha kibendera mara nyingine sio offside kabisa yeye akanyoosha kibendera tukajua kumbe domo limesaidia na ule mkwara mbuzi basi ikatiwa ndefu offside kabisa tukajua kama kawaida atanyoosha loh kaweka kibendera chini kaenda nae jamaa mpaka akafunga sasa waqt anarudi kati akasikika akisema "huo ndio u.s.e.n.g.e wangu huo ndio u.s.e.n.g.e wangu kwa sauti wote tukimsikia basi hakuna aliepata nguvu za kumfuata na kumkoromea tena tukaweka mpira kati.
 
Back
Top Bottom