NAKEMBETWA
JF-Expert Member
- Apr 20, 2012
- 3,517
- 3,135
Sio Sex Web mkuu [emoji12] [emoji12] [emoji23]Food web
sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio Sex Web mkuu [emoji12] [emoji12] [emoji23]Food web
Teh teh walevi wanathamini sana bia zao22% ya ajali za barabarani zinatokana na ulevi wa pombe!. Hii inamaanisha kuwa 78% ya ajali inasababishwa na wapuuzi flani ambao wanakunywa maji, chai, juice, kahawa na maujinga mengine! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa hauko serious kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23]SHERIA YA NDOA NA MAHARI No123 of 2016
Mahari itakuwa Tzs 700,000 na makato yafwatayo
Hajasoma - Tzs100,000
Sio bikira - Tzs 250,000
Anakuja na watoto - Tzs 80,000 × (idadi ya watoto)
Hawezi usafi - Tzs 80,000
Hawezi kupika - Tzs 50,000
Hana shughuli ya kufanya - Tzs 70,000
Mzembe - Tzs 50,000
Mlevi - Tzs 70,000
Amepiga mkorogo -Tzs 50,000
Matako bandia - Tzs 50,000
Maziwa bandia - Tzs 50,000
Kama jumla ikiwa hasi (-) basi inabidi ulipwe kwa kuchukua mzigo wao..
No stories...
Wanaume hatupendagi ujinga kabisaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124][emoji124]
cjui nmeitoa wapi hii
sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app
Hahahaa duh hatare[emoji23] [emoji23] [emoji23]Samahani jamani nauliza tu.
Hivi choo cha kuflash, flash yake kwenye giza inatoa picha vizuri? [emoji13][emoji13]
Inategemea na hiyo Flash yenyewe ni ya GB ngapi mkuu.. Kama ni chini ya 4 GB picha zinakuwa zimepauka kama wahenga na choo kitagoma kitakuwa haki-flashiki... [emoji23] [emoji23] [emoji23]Samahani jamani nauliza tu.
Hivi choo cha kuflash, flash yake kwenye giza inatoa picha vizuri? [emoji13][emoji13]
[emoji115] [emoji115] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]![]()
Jamii Forums mobile app