Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Mtoto: Mama kila nikikuuliza katkat ya miguu ya baba kuna nini hunijib sasa leo nimechunguza mpk nimejua
Mama:Mh?....
Mtoto:Kuna mswaki
Mama:hahahhah nani kakwambia
Mtoto:Nimemwona dada wambura kapiga magoti anasugua meno yake baba akiwa amesimama nikaingia dada c akageuka bac mdomo wote ulikuwa umejaa daw ya mswaki hadi ikawa inatoka nje
**************************************************
Usicheke mazishi ya huyo housegirl ni ijumaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*Tupo kanisani mchungaji kasema anaetaka kuombewa biashara yake.apate wateja asimame.muuza mjeneza kasimama wa kwanza....ibada ikaakhirishwa*[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app
 
Jamaa kanitumia sms nimkopeshe laki Tano nikamjibu, Kama unavyojua tunaelekea kwenye uchumi wa viwanda hela niliyo nayo kwa ss nimeielekeza kwenye visibility study na nitakayopata itakua ya Details designing. Pambana na hali yako Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Babu kanyatia fegi yangu kaanza kuvuta wakati mimi nimechanganyia na bhangi muda huu anafanya viroja tu anajipiga selfie kwa calculator pembeni yupo baba na mama wanacheka na kusema uzee unamsumbua babu sasa sijui niwaambie kuwa ganja ndo inampeleka mzee wao?
 
*Ase* *Mimi Lazima niingie peponi mana mtu kakosea kutuma Hela shilingi laki Tano kwenye M-pesa zikaja* *kwangu amenipigia nimrudishie kwakua sipendi dhambi na nimeokoka nimeamua kumrudishia pesa yake Nime mforwadia message yake. Naona ananipigia nadhan anataka aniambie asante nimeamua nibadilishe line sababu wanasemaga tenda wema uende zako usingojee shukrani[emoji38][emoji38][emoji37]
 
Unaenda UKWENI..

Asubuhi unakaribishwa chai unaangalia wa kwanza, mezani unakuta kuna sahani ina chapatti 3.. Wewe unazila zote

Wakati unamalizia kula ile chapati ya 3, baba mkwe nae anakuja kukaa mezani alafu anafoka Mbona hawajaleta chapati..

Mama mkwe anajibu kwa nguvu zimeshaletwa hapo mezani kila mtu chapati moja moja

Utafanyaje??

WpK
 
**


_To all the guys[emoji71] who took our girlfriends[emoji68] at school because they could play soccer[emoji460] more than us ,how is life at *REAL MADRID*.....



[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inaonekana ilikuuma sana yaani hujasahau tu[emoji1]

Sent from Calculator Phone vesion007
 
69c844294094e1eb67d9ae28bdf64ec4.jpg
[emoji15] [emoji15]
 
Unaenda UKWENI..

Asubuhi unakaribishwa chai unaangalia wa kwanza, mezani unakuta kuna sahani ina chapatti 3.. Wewe unazila zote

Wakati unamalizia kula ile chapati ya 3, baba mkwe nae anakuja kukaa mezani alafu anafoka Mbona hawajaleta chapati..

Mama mkwe anajibu kwa nguvu zimeshaletwa hapo mezani kila mtu chapati moja moja

Utafanyaje??

WpK
Duh utashikwa na tumbo la kuharisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom