Mozu1991
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 500
- 450
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Leo nimekutana na salimu hamisi....wakati nipo mdogo aliwahi kuniambia kuwa yeye ndio anaweka maji kwenye nazi. Hakika nilimuamini sana kwa kipindi cha muda mrefu sana....