[emoji15] [emoji15] [emoji15]Leo nimekutana na salimu hamisi....wakati nipo mdogo aliwahi kuniambia kuwa yeye ndio anaweka maji kwenye nazi. Hakika nilimuamini sana kwa kipindi cha muda mrefu sana....
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Leo nimekutana na salimu hamisi....wakati nipo mdogo aliwahi kuniambia kuwa yeye ndio anaweka maji kwenye nazi. Hakika nilimuamini sana kwa kipindi cha muda mrefu sana....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mtoto: Mama kila nikikuuliza katkat ya miguu ya baba kuna nini hunijib sasa leo nimechunguza mpk nimejua
Mama:Mh?....
Mtoto:Kuna mswaki
Mama:hahahhah nani kakwambia
Mtoto:Nimemwona dada wambura kapiga magoti anasugua meno yake baba akiwa amesimama nikaingia dada c akageuka bac mdomo wote ulikuwa umejaa daw ya mswaki hadi ikawa inatoka nje
**************************************************
Usicheke mazishi ya huyo housegirl ni ijumaa
Form three A au B?Umenikumbusha o level mkuu[emoji23][emoji23]
Inaonekana ilikuuma sana yaani hujasahau tu[emoji1]**
_To all the guys[emoji71] who took our girlfriends[emoji68] at school because they could play soccer[emoji460] more than us ,how is life at *REAL MADRID*.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji15] [emoji15]
Duh utashikwa na tumbo la kuharishaUnaenda UKWENI..
Asubuhi unakaribishwa chai unaangalia wa kwanza, mezani unakuta kuna sahani ina chapatti 3.. Wewe unazila zote
Wakati unamalizia kula ile chapati ya 3, baba mkwe nae anakuja kukaa mezani alafu anafoka Mbona hawajaleta chapati..
Mama mkwe anajibu kwa nguvu zimeshaletwa hapo mezani kila mtu chapati moja moja
Utafanyaje??
WpK
.....Kwenu ni wengi mpaka last born wenu anaitwa etc.Wewe ni Mweusi mpaka ukimbeba mtoto anasinzia fofofo akijua tayari usiku umeingia