Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

"Nakusihi mwanaume ufanye kazi ili umletee chakula mke na c yeye akuletee chakula. Kumbuka kwa mara ya kwanza mwanamke kumletea chakula mwanaume ilikuwa ni pale Eden na tulijikuta tumefukuzwa wote Bustani ya Eden... Usisubir kufukuzwa hapo Ulipo

Chakula cha kuletewa na mwanamke hakitakuacha salama
[emoji28][emoji23][emoji16]
 
Hahaha this is funny!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi Wenye Vidole Kama Chanuo la Mbao Tunasumbuliwa Sana Na Sim za Smartphones [emoji134][emoji134]

Mama Mkwe Katuma Sms Kutusalimia Nikamjibu (KWEMA HUKO MAMA ?).. Baada Ya Kusend Nkaikuta Imejiandika (KWENDA HUKO MAMA).

Sasa Hivi Kila Nikimpigia Hapokei!!

NAFANYAJE HAPA SASA JAMANI
 
Hueleweki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nimeenda mgahawani nikakuta kila meza watu wamekaaa wawili wawili(couple) .. kwakua sipendi kula nikiwa nimesimama
Nikachukua simu yangu nikapiga nikaongea kwa sauti rafiki yangu mke wako yuko hpa mgahawani amekaa na mwanaume mwngine njoo uone...
Robo tatu ya wanawake waliokua hapa wameondoka meza zimebaki waz nadhani wanaenda kula nyumbani [emoji23][emoji23]
 
Jamaa kakichukua cheti cha ndoa na kukitizama kwa muda mrefu kila mkewe akiingia chumbani anamkuta jamaa kakikodolea macho takriban masaa matano kitu ambacho si kawaida mkewe kamuangalia mwisho kamuuliza unaangalia tarehe yetu tuliofunga ndoa? Jamaa huku akisonya na kukitupa cheti kitandani huku akisema "sijui kwanini huwa hawaandiki expire date!
 

[emoji106] [emoji106] [emoji106]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…