Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwema ndugu yangu? kama alivyo andika mdau hapo jakitoo mishe mishe lakini tunajitahidi kutupia japo mara chacheNi kweli
Jamii Forums mobile app
[emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56]Leo nimekutana na salimu hamisi....wakati nipo mdogo aliwahi kuniambia kuwa yeye ndio anaweka maji kwenye nazi. Hakika nilimuamini sana kwa kipindi cha muda mrefu sana....
Nlikuwa Kenya kama muangalz wa uchaguzi kutoka nje, sasa huko vifurushi vya chuo hamna....Freyzem
lothrito
jakitoo
Numbisa
stickvibration
Guasa Amboni
Salmah99
Siku hizi hatuutendei haki uzi....
![]()
Jamii Forums mobile app
Hahaha this is funny!"Nakusihi mwanaume ufanye kazi ili umletee chakula mke na c yeye akuletee chakula. Kumbuka kwa mara ya kwanza mwanamke kumletea chakula mwanaume ilikuwa ni pale Eden na tulijikuta tumefukuzwa wote Bustani ya Eden... Usisubir kufukuzwa hapo Ulipo
Chakula cha kuletewa na mwanamke hakitakuacha salama
[emoji28][emoji23][emoji16]
HuelewekiDah huu ushamba sio kabisa leo nimepanda gari naenda kibaha nipo njiana mm najua nashuka hospitali hata sijui hospitali gani
Konda akachukua nauli kabla hajarudisha chenj akaniuliza unaenda kibaha nikamjibu ndio
Akuliza tena unashuka maili moja
Nkasema sijui ni maili ngapi maana mm huku mgen na sijui vipimo
Nashukur alinielewa bhna akankrudishia chenj
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanaume wa Kweli ni Nani?
Mwanamume wa ukweli ni yule ambaye anatangulia HOTELINI kwanza na kumuambia Mhudumu wa Hoteli Nikija na MCHEPUKO wangu, nikiulizia Kuna Chakula gani sema "imebaki Chai na Maandazi tu."[emoji23][emoji23][emoji23]
Hao mnaowaita wapiga dili ndo hao waliokuwa na vijihela vyao wanatuajiri sisi wanyonge, sasa we kenua mimeno tu "Wapiga dili wamebanwa" kati huna hata sent, na mama yako alikuwa na kibarua huko kwa mpiga dili tayari kimeshaota nyasi , subiria vibom tu kutoka kwa nduguzo , na senti huna , ndo utajua kwanini lifti inapandwa lakin haiwekewi mbolea
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji106] [emoji106] [emoji106]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Jamii Forums mobile app