[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka mpaka nimekaa chini. Eti mwanao alidedi msalabani kisa mawenge yetu sisi majitaMchungaji leo kajipendekeza kumuita kijana mmoja mtanashati utufungulie ibada kwa maombi, watu wote wakafumba macho na jamaa akaanza! EE GOD TAZAMA WANAO TUKO FITI KISHENZI, HAMNA NOMA WALA NDUMBA, AMANI MWANZO MWISHO, YANI MZUKA ILE MBAYA. MWANAO ALIDEDI MSALABANI KISA MAWENGE YETU CC MAJITA, NAJUA UNATUPIGANIA KICHIZI, YANI GOD NIMEKUBALI WEWE NI JEMBE NA MSHUA WA WOTE, AMEN .Mchungaji hoi, KUMBE JAMAA ALISHA VUTA CHA TARIME MARA
Atakuwa anataka kununua Condom tu, Hakuna namna.Aah mkuu sio kweli,wanaosubiri chenji huwa wanakadharau flan hapish mtu
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] umetukanwa weweUtoto bado sijaacha..!!
*Nimefika Ubungo stendi ya mabasi wapiga debe wakawa wanasumbua sana wananiuliza naenda wapi, nikajibu ZANZIBAR.*
*Nimewaacha nawasikia wanataja sehemu za siri za binadamu itakuwa wanakumbushana biology*
"Ideas are easy but Implementation is hard."
We jamaa ni nyokoo!unakuta mdada ana tumatiti tudogo afu akianza kwenda kuoga anafunga taulo mpaka shingoni sa sijui anafunika mapigo ya moyo
[emoji276][emoji276]ujinga tu.[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Zaitun anatoka kuoga akiwa na kanga moja tu anaskia hodi, kufungua mlango akakuta ni jirani yake Fabian ambaye ni kipofu, akamkaribisha ndani akakaa, zaituni kavua ile kanga akabaki uchi akaanza kujipaka mafuta akijua Fabi hamuoni na mazungumzo yakawa ni Haya..
Zai : VIPI Fabi MBONA UMEPOTEA YAANI
HUONEKANI SIKU HIZI..?
Fabian: AH NILIENDA INDIA KUFANYIWA
OPERESHENI YA MACHO SASA HIVI NAONA VIZURI KABISA!...