Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

IMG_20170809_152622.jpg
 
Mchungaji leo kajipendekeza kumuita kijana mmoja mtanashati utufungulie ibada kwa maombi, watu wote wakafumba macho na jamaa akaanza! EE GOD TAZAMA WANAO TUKO FITI KISHENZI, HAMNA NOMA WALA NDUMBA, AMANI MWANZO MWISHO, YANI MZUKA ILE MBAYA. MWANAO ALIDEDI MSALABANI KISA MAWENGE YETU CC MAJITA, NAJUA UNATUPIGANIA KICHIZI, YANI GOD NIMEKUBALI WEWE NI JEMBE NA MSHUA WA WOTE, AMEN .Mchungaji hoi, KUMBE JAMAA ALISHA VUTA CHA TARIME MARA‍
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka mpaka nimekaa chini. Eti mwanao alidedi msalabani kisa mawenge yetu sisi majita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo nimelala hapa, kosa langu kuvuta bangi kwenye kijiwe kipya, wanakalia mawe, matako yote yaniuma, ilikuwa jana hiyo[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
Je wajua?
Je unajua kwanini suruali za walevi wengi wa gongo huwa zinachanika makalioni?
Hiyo ni kwasababu walevi wengi wa gongo kwenye kijiwe chao wakati wa kunywa huwa akiongezeka member mpya hawanyanyuki kusogea, bali wanajigosea kitaki tako hata kama wamekalia gogo[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
Katika utafiti wangu nimegundua kuwa aliegundua lami na kuiacha iwe nyeusi amefanya la maana sana, maana kwa magari yanayopita, likipita semitrailer {hogo} sidhani kama mwenye ki vitz {kibamia} angepitisha na yeye kigari chake[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
Mara yangu ya kwanza kuvaa miwani ya jua nilijisaidia haja ndogo sokoni majira ya saa kumi tena jua likiwa linawaka na watu wamejazana, [emoji38] [emoji38] [emoji23] mi nilidhani usiku[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
Dawa ya jino linalouma ni kung'oa tu! Likiuma jingine ng'oa likiuma jingine ng'oa yote[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] uone kama utasumbuka tena na meno[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
Utoto bado sijaacha..!!

*Nimefika Ubungo stendi ya mabasi wapiga debe wakawa wanasumbua sana wananiuliza naenda wapi, nikajibu ZANZIBAR.*
*Nimewaacha nawasikia wanataja sehemu za siri za binadamu itakuwa wanakumbushana biology*

"Ideas are easy but Implementation is hard."
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] umetukanwa wewe

sent by OdryDrogen
 
Zaitun anatoka kuoga akiwa na kanga moja tu anaskia hodi, kufungua mlango akakuta ni jirani yake Fabian ambaye ni kipofu, akamkaribisha ndani akakaa, zaituni kavua ile kanga akabaki uchi akaanza kujipaka mafuta akijua Fabi hamuoni na mazungumzo yakawa ni Haya..

Zai : VIPI Fabi MBONA UMEPOTEA YAANI
HUONEKANI SIKU HIZI..?
Fabian: AH NILIENDA INDIA KUFANYIWA
OPERESHENI YA MACHO SASA HIVI NAONA VIZURI KABISA!...
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mtu na mke wake walikuwa wanalala kitanda kimoja na watoto wao, mtoto wa kwanza ana miaka 3 na wapili mdogo ndo ana mwaka tu.
Sasa ikifika usiku wakitaka kufanya mambo yao wanangoja mpaka usiku wa manane ili watoto wote wawe wamelala.
Sku moja wakati wakifanya yao wakanogewa na kusahau kama kuna mtoto mdogo , wakakasukuma kakaanguka chini, mke akawahi kukinyanyua ili kasije mwamsha yule Mkubwa.
Baada ya kuona hali imetulia na hawajaamka, basi wakaanza tena mambo yao, Mara yule mkubwa akaskika akikaambia kale kadogo, "Saivi jishike vizuri, wenzio wameanza tena" .




Sent using Jamii Forums mobile app

 
Back
Top Bottom