Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

[emoji484] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahooo!! Mbona mtu atanyanyuka na kitanda

young kilimanjaro
 
hapo ndio mtu ukubali kua kufa ni faida[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

young kilimanjaro
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti tungo shtushi....
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Jamani tuwe makini na vyakula vya njiani!!
Kuna jirani yangu hapa katoka kazini kafika Sinza mori akakuta pweza basi akala pweza wa buku na kachori za mia tano! Akaomba na supu ya pweza ya mia tatu akashushia!
Baadae kaelelekea nyumbani kwake kamkuta mkewe akamuomba maji ya kunywa alipopewa akayanywa kisha akavua viatu, mkewe akamtengea maji ya kuoga baada ya kuoga akawa anapitia madaftari ya wanae, alipomaliza akajumuika na familia kula Chakula cha usiku kisha wakalala huku wamefunga milango yote.
Asubuhi kaamka, baada ya kuoga kavaa vizuri tu kaenda kazini... kwa ujumla Yuko vizuri katika kazi na anapiga kazi kama kawaida.

Kama hujaipenda andika na wewe ya kwako!...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] u made my day!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Itatuuwa wewe [emoji23][emoji23][emoji295]️[emoji23][emoji295]️
 
Wakati unatamani baba yako angekuwa Dangote.
Wakati huo huo baba yako naye anatamani we ungekuwa MBWANA SAMATTA [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kumbukeni Shetani Anacheza na Akili zenu wote wawili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji54][emoji54][emoji54]
 
AMINI HII NDIO KANUNI YA NDOA ZA LEO

*Kanuni ya ndoa za sasa:*

1-Mwaka wa kwanza, mume anaongea huku mke anasikiliza.
2-Mwaka wa pili mke anaongea, huku mume anamsikiliza.
3-Mwaka wa tatu mume anaongea na mke anaongea, huku majirani wanawasikiliza.
4-Mwaka wa nne, mume anaongea mke anaongea majirani wanaongea na mahakama inawasikiliza.
Chezea ndoa za sasa*.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…