N... NdioN....Nauliza
M....Mshahara
B.....Bado?
NMB......[emoji1321]
Freyzem itabidi uikubali miaka 30...si bado mwanafunzi huyo....Bibie ajue sasa kuwa serikali haisomeshi wazaziJaman jaman, nafanana na mtoto wa emoj kweli mimi...Mungu anakuona![emoji23][emoji23]
Halafu sasa aliyempa huyo emoj mimba ni nani...nahisi alibubakari anahusika kwa namna flani na huo uonevu...mahari alichukua nani?
Numbisa hilo la mahari linakuhusu, nimetonywa wewe ndiye bib wa mtoto wa huyo emoj...[emoji28] [emoji28]
Jaman jaman, nafanana na mtoto wa emoj kweli mimi...Mungu anakuona![emoji23][emoji23]
Halafu sasa aliyempa huyo emoj mimba ni nani...nahisi alibakarianahusika kwa namna flani na huo uonevu...mahari alichukua nani?
Numbisa hilo la mahari linakuhusu, nimetonywa wewe ndiye bib wa mtoto wa huyo emoj...[emoji28] [emoji28]
Sonia hii kali ya Mwaka[emoji2]Jamani mwenye mwiko aniazime nataka kusonga mbele[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti kwa nini muuza mkaa haogi mchanamganga ana dawa zote lakini dawa ya meno ananunua kwa chinga,
hapo ndio utajua kwanini muuza mkaa haogi mchana
[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]HILI SWALI HADI LEO SIJAPATA JIBU LAKE..
Kipi kinavuliwa saana SAMAKI au CHUPI?[emoji1321]
Oya mnazingua mjue mboma hamchekeshi sasa
Looooh jamana nivyorecall size ya hvyo vibetri duu mbavu zangu hapa nacheka mpaka majiran hawanielewiMADAKTARI KWELI HUONA VITUKO
Jamaa ana tatizo kaingia kwa Daktari ikawa kama ifuatavyo,,
Jamaa: Dokta nina tatizo huku sirini,
Daktari : Hebu vua nguo tuone,
Jamaa: sawa navua ila naomba usicheke, pliz dkt usicheke.
Daktari : usijali mimi hii ndo kazi yangu siwezi kumcheka mgonjwa.
jamaa akavua suruali kuonesha dushelele yake. basi dokta kuona, ustaarabu ukamshinda akaanza kucheka na akacheka kama dakika 3 hadi machozi yakamtoka.Dushelele ya jamaa ilikua ni kadogo kama betri Ya AAA (betri za remote ya king'amuzi).Daktari alipomaliza kucheka mazungumzo yakaendelea,,
Daktari : enhee Tatizo ni nini???
Jamaa: IMEVIMBAA toka juzi,
Daktari Akazimia pale pale,,,,,,
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kwiii kwiiiiii kwwiiJana nilimuita demu wangu kipenzi, alipofika gheto nilimuandaa vizuri na tukaingia kitandani kwa mara ya kwanza. Kwa vile niliona aibu asijekiona kibamia changu nikasisitiza tuzime taa. Chumba kikiwa giza demu akashika bamia yangu bwana, mara nikasikia kaguna, akasema "akhu bwana wee mie situmii sigara". Mara akatoka nje akaniacha ndani. Hadi sasa hivi namsubiri, nahisi bado anahangaika kutafuta lighter aje aniwashie sigara.
Kiingereza ndio pake hapa...[emoji13][emoji13]IVI UKAENDA BAA ALAFU UKAKAA "COUNTER" unakunywa mdogo mdogo mara ghafla majambazi yakakuvamia hapo hapo Counter
SI NDO INAKUWA "COUNTER ATTACK" AU? [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]   [emoji100][emoji124][emoji125][emoji125][emoji125]
Nitakuwa naonewa, sihusiki kwa namba yoyote...wahusika wanajijua![emoji28] [emoji23] [emoji25] [emoji23] [emoji23]Freyzem itabidi uikubali miaka 30...si bado mwanafunzi huyo....Bibie ajue sasa kuwa serikali haisomeshi wazazi
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app