Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Jaman jaman, nafanana na mtoto wa emoj kweli mimi...Mungu anakuona![emoji23][emoji23]
Halafu sasa aliyempa huyo emoj mimba ni nani...nahisi alibubakari anahusika kwa namna flani na huo uonevu...mahari alichukua nani?
Numbisa hilo la mahari linakuhusu, nimetonywa wewe ndiye bib wa mtoto wa huyo emoj...[emoji28] [emoji28]
Freyzem itabidi uikubali miaka 30...si bado mwanafunzi huyo....Bibie ajue sasa kuwa serikali haisomeshi wazazi
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaman jaman, nafanana na mtoto wa emoj kweli mimi...Mungu anakuona![emoji23][emoji23]
Halafu sasa aliyempa huyo emoj mimba ni nani...nahisi alibakarianahusika kwa namna flani na huo uonevu...mahari alichukua nani?
Numbisa hilo la mahari linakuhusu, nimetonywa wewe ndiye bib wa mtoto wa huyo emoj...[emoji28] [emoji28]

Aisee [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38]

[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]   [emoji100][emoji124][emoji125][emoji125][emoji125]
 
mganga ana dawa zote lakini dawa ya meno ananunua kwa chinga,
hapo ndio utajua kwanini muuza mkaa haogi mchana

[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]​
 
Oya mnazingua mjue mboma hamchekeshi sasa

Jana nilimuita demu wangu kipenzi, alipofika gheto nilimuandaa vizuri na tukaingia kitandani kwa mara ya kwanza. Kwa vile niliona aibu asijekiona kibamia changu nikasisitiza tuzime taa. Chumba kikiwa giza demu akashika bamia yangu bwana, mara nikasikia kaguna, akasema "akhu bwana wee mie situmii sigara". Mara akatoka nje akaniacha ndani. Hadi sasa hivi namsubiri, nahisi bado anahangaika kutafuta lighter aje aniwashie sigara.
 
MADAKTARI KWELI HUONA VITUKO

Jamaa ana tatizo kaingia kwa Daktari ikawa kama ifuatavyo,,

Jamaa: Dokta nina tatizo huku sirini,

Daktari : Hebu vua nguo tuone,

Jamaa: sawa navua ila naomba usicheke, pliz dkt usicheke.

Daktari : usijali mimi hii ndo kazi yangu siwezi kumcheka mgonjwa.

jamaa akavua suruali kuonesha dushelele yake. basi dokta kuona, ustaarabu ukamshinda akaanza kucheka na akacheka kama dakika 3 hadi machozi yakamtoka.Dushelele ya jamaa ilikua ni kadogo kama betri Ya AAA (betri za remote ya king'amuzi).Daktari alipomaliza kucheka mazungumzo yakaendelea,,

Daktari : enhee Tatizo ni nini???

Jamaa: IMEVIMBAA toka juzi,

Daktari Akazimia pale pale,,,,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
Looooh jamana nivyorecall size ya hvyo vibetri duu mbavu zangu hapa nacheka mpaka majiran hawanielewi
tapatalk_1503458025512.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana nilimuita demu wangu kipenzi, alipofika gheto nilimuandaa vizuri na tukaingia kitandani kwa mara ya kwanza. Kwa vile niliona aibu asijekiona kibamia changu nikasisitiza tuzime taa. Chumba kikiwa giza demu akashika bamia yangu bwana, mara nikasikia kaguna, akasema "akhu bwana wee mie situmii sigara". Mara akatoka nje akaniacha ndani. Hadi sasa hivi namsubiri, nahisi bado anahangaika kutafuta lighter aje aniwashie sigara.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kwiii kwiiiiii kwwii
 
IVI UKAENDA BAA ALAFU UKAKAA "COUNTER" unakunywa mdogo mdogo mara ghafla majambazi yakakuvamia hapo hapo Counter

SI NDO INAKUWA "COUNTER ATTACK" AU? [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]   [emoji100][emoji124][emoji125][emoji125][emoji125]
Kiingereza ndio pake hapa...[emoji13][emoji13]
 
Freyzem itabidi uikubali miaka 30...si bado mwanafunzi huyo....Bibie ajue sasa kuwa serikali haisomeshi wazazi
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitakuwa naonewa, sihusiki kwa namba yoyote...wahusika wanajijua![emoji28] [emoji23] [emoji25] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom