Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kweli wewe hupendagi ujinga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kabisa..[emoji54][emoji54]

Ndiyo maana nimeamua kufuatilia hili suala kwa undani!!

Nimesoma amri 10 za Mungu kwenye Bibilia cha ajabu sijaona amri ya kumpa demu hela, Hivi hii amri ya kuwapa mademu hela wanaume tumeipata wapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kufulia kubaya tunatafuta sababu.

By Bible
 
Kuna jamaa aliweka picha ya ki-pikipiki chake kama whatsapp dp, halaf status akaandika "kabaya kamezeeka lakini kananifanya niishi mjini".

Jana amechange dp ameweka picha ya mchumba wake lakini akasahau kubadilisha status. Unajua kilichotokea??

[emoji23][emoji23][emoji23].!
Tuhurumiane mkuu mbavu zinabana hapa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2]
 
Mke: Unampango gani na pasaka hii mmewangu..
Mume: Nitafanya kama yesu..
Mke: Unamaanisha Nini?
Mume: Nitaondoka ijumaa na Kurudi j3..
Mke: Unanishangaza, kama utafanya hivi nami nitafanya kama Maria..
Mume: Unamaanisha Nini?
Mke: Nitapata mimba bila ya kuingingiliwa na wewe mume wangu..
Mume yuko hospital haongei had sasa,anapumulia gesi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85]
 
MUGABE NAE KWA MAJIBU ANATISHA
SWALI:Kwanini wanasiasa wala rushwa hawaendi jela ?

MUGABE! Hii ni sawa na mbu anayeng'ata kwenye pumbu hawezi kupigwa kofi zito.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki yanani akili zako unazijua mwenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yaani leo siamini kabisa kama nimetimiza mwezi bila kunywa pombe: kwa hiyo hapa nipo bar najipongeza kwa bia mbili tu![emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji38][emoji38]
Daaaaa wee chizi rafiki yango[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Leo nimeenda kuchangia damu hospitalini,mara wananambia soda na biskuti zimeisha..!
Sa hii nipo zangu njiani na damu yangu kwenye blood bag naelekea nyumbani. Bora niwapelekee mbu take away..
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

wala sijawahi vutaga bangi Mimi
Kahifadhi kwako
 
```Amazing Fact

[emoji117]inachukua sekunde 7 baada ya kumeza chakula kufika tumboni
[emoji117]Mtu akifa,ubongo hutumia dakika 15 kumalizia shughul za mwilini
[emoji117]mwanamke ndio kiumbe chenye huruma zaidi na kikatili zaidi hapo hapo
[emoji117]Urefu wa kidole gumba cha mwanaume ni Mara 3 upate urefu wa uume wake.
[emoji117]Mate ya binadamu yanaweza yakawa sumu
[emoji117]Wanawake washamaliza kusoma,
[emoji117]wanaume bado wanaangalia vidole gumba vyao```

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
duh nimeangalia kidole gumba changu nikaongeza mara tatu....mandingo!
 
Back
Top Bottom