Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

71676f794480093ff98e15cfda757dcb.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
Katapigwa haka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ujinga ni kujamba kwa sauti kwenye daladala wakati unasikiliza muziki kwa earphone ukidhani hausikiki....na ujinga zaidi ni kupunguza sauti ya radio ili usome sms...
 
*Jana wakati naangalia taarifa ya habar mtangazaji akasema "mpenz mtazamaji nataka nikupeleke moja kwa moja had marekani" nikazima TV kwa haraka nikaenda kuvaa viatu. Hadi sasa bado nimekaa hapa seblen[emoji41][emoji41] nahisi bado wanaihangaikia Visa yangu*
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji125][emoji125][emoji125]

Sent from Calculator Phone vesion007
 
Ulikosea kuzima tv maana wakawa hawakuoni kama umeshajiandaa kabisa.
Wameshakuacha wenzio.

latest edition
 
Kuna vijimisemo vifupi vimeibuka huku kwenye mitandao kwa sasa, yaani ni full burudani!
Ukivisomo mwisho lazima ubaki mdomo wazi au ucheke, baadhi ya niliyokutana nayo naweka hapa, pia karibuni kwa wenye zaidi tuburudike pamoja!

Leo kidogo nipigwe na MWANAMKE baada ya LIFTI kusimama...wakati tupo kwenye lift Nilikua nayaangalia MAZIWA yake akasema "Bonyeza Moja"[emoji196][emoji196] mi si nikalibonyeza?
Yaani had sasa
bado najiuliza nilipokosea.

Hivi Utajisikieje Utakaposikia Rafiki Yako wa Karibu Hajaja Kwenye Mazishi Yako ???!
Nadhani Mimi Sitamwongelesha Tena !!!! [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
I think nakaribia kupona

Nimenunua chips ili nile kwa bahat mbaya mtoto wa mama mwingine amekaa next to me akaanza kuzililia.
Imebidi nivae earphones. [emoji19]Napenda watoto, ila utoto ndio sipendi..

Jana nimepita njia ya mkato makaburini warembo wawili wakawa wananikimbilia wanatetemeka Eti tunaogopa kupita peke yetu na mm Nikawajibu hata mm nilivyokuwa hai nilikuwa naogopa sana . Wakazimia
Sipendagi kufatwa fatwa mm[emoji57][emoji57][emoji57]
Watu waliowai kukimbia vita na tabia zao

Watu hawasiku wakija kwako na juzi wakaenda zao wanaweza kuula na kunywa pale manzese hivyo unaitajika mapema mama mgonjwa Helo elena lile beberu bora

BANA USINIPANGIE CHA KUPOSTI BANDO NIMENUNUA MWENYEWE USIJIPE MADARAKA.
 
Attachments

  • FB_IMG_15041131401769575.jpg
    FB_IMG_15041131401769575.jpg
    263.6 KB · Views: 129
  • FB_IMG_15041131401769575.jpg
    FB_IMG_15041131401769575.jpg
    263.6 KB · Views: 116
[emoji16] [emoji16] [emoji16]

Katika kitu alichoongea cha maana huyu Idris basi hicho. Yaani nawakutaga insta wanajiita models sasa sijui models wa kitu gani? na ni kweli wanaume wamegundua kuwa wanawake wanapenda mauzo na kujiona models basi ukiwa na camera tu unawateka kiuwepesi sana. 😀 Siku izi ukiwa na camera ya cannon au nikon basi ushakuwa photographer na mwanamke huitaji kupiga mistari, we toa tu camera na yeye ataanza kujihashua mwenyewe 😀 😀 😀

hahhahahahahaha hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom