Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

bdda08f0e89e9125b31203d6ddc600b6.jpg
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*UMEMUAGA mkeo unaenda kazini, ukapita kwa mchepuko wako, wakati unajimwaya-mwaya na mchepuko, mume wa mchepuko akagonga mlango, ikabidi ufichwe uvunguni mwa kitanda. Wakati bado upo uvunguni ka mchepuko kakamuaga mume wake kwamba, kanaenda saloon, mume wa ka-mchepuko naye akaona ndo muda wa kuita mchepuko wake, akauita ukaja, wakajimwayamwaya kwa sana muda huo wee bado upo uvunguni. Mara mchepuko wako akarudi kutoka saloon, akagonga mlango, ikabidi mume wa mchepuko wako aufiche uvunguni mchepuko wake. Kucheki hivi kumbe mchepuko wenyewe ndo mke wako uliyemuaga unaenda kazini, kwa hiyo wewe na mke wako wote mkawa mmefichwa uvunguni...Ukisikia vita ya tatu ya dunia, ndo hii sasa.*

*Hivi mmenielewa kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*

sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app
Duuuh hapo kweli vita ya dunia
 
TUME YA UCHAGUZI NCHINI KENYA IMEOMBA WASIMAMIZI 15000 KUTOKA TANZANIA SIFA

1. AWE ALISHAWAHI SIMAMIA UCHAGUZI TANZANIA JAPO MARA MOJA

2.UMRI USIOPUNGUA MIAKA 18

3.AWE NA AKILI TIMAMU

AWE ANAFAHAMU KUSOMA NA KUANDIKA

4.AWE HAJAWAHI KUWA NA KOSA LA JINAI

5.AAMBATANISHE NAKALA ZA VYETI VYA TAALUMA NA CHETI CHA KUZALIWA.

NAULI KWENDA NA KURUDI SELIKARI ITAGARAMIA

POSHO NI sh 30000 za Kenya kwa siku, siku 3=sh 90000 sawa na Tsh 1620000

GARAMA ZA KULA NA KULALA BURE

MAOMBI YATUMWE

TUME YA UCHAGUZI YA KENYA BOX 149 DARESALAAM.

ACHA MAWAZO MGANDO PAMBANA NA HALI YAKO TU TANGU LINI WEWE UKASIMAMIE KENYA? [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Mwehu sana wewe[emoji3] nilishaipigia bajeti hiyo M1.6 yaani ilikua tayari imeshaisha![emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuishi nyumba moja na wazazi huwa ni kazi kweli.....juzi nipo sittingroom na bro tunacheki mpira na faza alikua bedroom,kidogo tuh braza akajamba kwa sauti....
sauti iliyotoka bedroom "ehhhh jamba kabisa ukitaka kunya na ujiharishie mpuuzi wewe, nguvu ya kujamba unayo ila ya kuhama kuanza maisha yako Huna!
#Dah_home_nomasana
Ntahama tu lakini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
*****. Wewe ni nyoko!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom