Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Aaaaaaahaaaah!nomakweli.
 
Mtoto mwenye umri wa miaka kumi alikuwa safarini pamoja na wazazi wake.Kwa bahati mbaya hakuweza kukaa pamoja nao ikabidi akaye kwenye siti na abiria mwingine.mazungumzo ya mtoto na huyo abiria yaka anza.
Abiria: mtoto haujambo?
Mtoto: sijambo shikamoo Mzee
Abiria: marahaba mimi ni professor wa physics Je unataka kujua namna ya rocket zinavyo safiri mwezini?
Mtoto: ndio kabla hujanijibu nina mwaswali naomba nikuulize.Mbunzi anakula majani akinya mavi yake yanakuwa kama Gololi.Ng'ombe naye anakula majani akinya mavi yake kama keki .Punda naye anakula majani akinya mavi yake kama uji Je ni kwa nini?
Abiria: kafikiria halafu akasema sijui
Mtoto: sasa wewe professor wa physics unataka kuongea mambo ya rockets wakati (you don't know shiit)
 
Pili pili boga tatu.
Pili pili manga kikombe tatu cha kahawa.
Pili pili mbichi kumi na nane 18
Limau sita 6.
Chumvi nusu kijiko cha chai.
Masala nusu kikombe cha chai.
Blendi pamoja mpaka zichanganyike tumia vijiko viwili maratatu kwa siku kwa one week utazungumza kihindi
[emoji3][emoji3]
 
...Alie elewa anifahamishe
 
Naanza hiyo dozi, nikichanganya na bang vijiko sita! Natamani kuwa mjamaika ninaeongea kihind[emoji23][emoji23]
 
Sonia G haufai kabisa wewe! Haufai kukaa na watu wasiojulikana.
 
Aiseee. Nimeanza kufikiria mara 2 kama kuna haja ya kuendelea kuvuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…