Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

b9e87e9834af5413e0c4eb1d10695831.jpg
[emoji23][emoji28][emoji23][emoji28]
 
Hakuna furaha kama kukutana na EX wako akiwa amechoka amewamba kapauka na kila dalili ya kukuomba msaada. Nafsi yako huburudika sana.

Nb :tukivua vazi la UNAFIKI huo ndio ukweli.
hahahah [emoji23][emoji28][emoji23][emoji28] ndo ubinadamu huo, hpo hata mimi sibishi kwakweri.
 
Umeelewa tofauti namimi! Hili suala ni la starehe maana halihitaji pupa ni utulivu na privacy iwepo yaan burudaniiii! Hasa kiwe choo safiii kisicho na foleni za hodihodi

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaha [emoji23][emoji28][emoji23][emoji28][emoji23] aisee kweri hili jukwaa ni stress remover.....we stable woman wewee
 
Napita tuuu
Kuna vijimisemo vifupi vimeibuka huku kwenye mitandao kwa sasa, yaani ni full burudani!
Ukivisomo mwisho lazima ubaki mdomo wazi au ucheke, baadhi ya niliyokutana nayo naweka hapa, pia karibuni kwa wenye zaidi tuburudike pamoja!

Leo kidogo nipigwe na MWANAMKE baada ya LIFTI kusimama...wakati tupo kwenye lift Nilikua nayaangalia MAZIWA yake akasema "Bonyeza Moja"[emoji196][emoji196] mi si nikalibonyeza?
Yaani had sasa
bado najiuliza nilipokosea.

Hivi Utajisikieje Utakaposikia Rafiki Yako wa Karibu Hajaja Kwenye Mazishi Yako ???!
Nadhani Mimi Sitamwongelesha Tena !!!! [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
I think nakaribia kupona

Nimenunua chips ili nile kwa bahat mbaya mtoto wa mama mwingine amekaa next to me akaanza kuzililia.
Imebidi nivae earphones. [emoji19]Napenda watoto, ila utoto ndio sipendi..

Jana nimepita njia ya mkato makaburini warembo wawili wakawa wananikimbilia wanatetemeka Eti tunaogopa kupita peke yetu na mm Nikawajibu hata mm nilivyokuwa hai nilikuwa naogopa sana . Wakazimia
Sipendagi kufatwa fatwa mm[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Kama umeshiriki tendo la ngono na zaidi ya watu 10, huwezi kukiita kiungo hicho SEHEMU ZA SIRI, Bali hiyo ni mali ya *UMMA* chini ya wizara ya Utalii, Burudani na Wanyama Mwitu..[emoji23][emoji23]

Kama ni zaidi ya watu 25 basi ni mali ya *UMOJA WA MATAIFA* kitengo cha misaada...[emoji23][emoji23]

Zaidi ya watu 50 unastahili kufikishwa *mahakama kuu* kwa matumizi mabaya ya neno SEHEMU ZA SIRI.[emoji28][emoji28]

Ujumbe huu[emoji1600][emoji1600]Unastahili kufikia Wanaume na Wanawake wote WENYE MATUMIZI MABAYA YA SEHEMU ZA SIRI...[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]

*Kwangu imekuja kimakosa*...
[emoji124]‍♀[emoji124]‍♀[emoji124]‍♀[emoji124]‍♀[emoji124]‍♀[emoji124]‍♀
 
*Demu anatakiwa kuwa mshamba kiana......*
_Sio demu anamjua mpaka Cheki Noris,Anord Shozniga,Michael Dadkof....huna hata cha kumdanganya?...._
_Inatakiwa ukimuuliza "baby unamjua Lukaku?" anakujibu "ni yule rafiki yako wa kijijini?"_
_Baby hivi Hazard unamjua?" anakujibu "si ndo yule mtoto wa mama James?"......._
_sio demu anajua matimu ya mpira bongo mpaka ulaya,anaijua hadi Kasimpasa ya Uturuki......_
_Demu ukiangalia nae The Walking Dead au Wrong turn hata hashtuki,amekodoa mi macho tu mwanzo mwisho...._
_inatakiwa akiangalia muvi za kutisha anakukumbatia kumbatia "baby toa bn mi ntaota".....au "au maskin si atamuua sasa"....._
_Sio demu anaangalia picha la mavampire anashabikia "bora life,linakiherehere sana!....."_
Greataziz
_Mi napenda demu nikimwambia "Leo Chelsea anacheza na Man U"....yeye aniambie "kumbe kombe la dunia limeanza?".........._
_Sio demu anakutajia mpaka first eleven ya Burnley,demu gani huyo!!!??_

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake bhana eti demu wangu anamiliki iPhone 7 halafu ananipigia simu ananiambia 'baby njaa inauma' Kwa kuwa sipendagi ujinga nimemwambia 'kula hilo apple nyuma ya simu yako' Mara nkasikia mxiuuuuu nadhanI alikuwa anaita paka wake [emoji3] [emoji3]
 
Yuko jamaa mmoja alikuwa maarufu sana mjini anaitwa jiwemoja sababu alizaliwa na Pu.mbu moja.
Alikuwa mkali watu wakimwita jiwemoja.Akatangaza mtu yeyeto atakae niita "jiwemoja"nitamuuwa.
Siku moja msichana anaeitwa"blueBird" kamuona Jiwemoja akamkumbatia halafu Akasema"Jiwemoja "za masiku? Jiwemoja akampeleka porini kafanyanae mapenzi sikuTatu mpaka Bluebird akafa.Habari ikafika mjini Jiwemoja kasema kweli.Baada ya miezi kadhaa ndugu yake Bluebird anaitwa "Yellow Bird" karudi safarini mtu wa kwanza kumuona alikuwa Jiwemoja.
Bila ya kujua Yellow bird akamwita "Jiwemoja mambo?"
Jiwemoja akampeleka msituni kafanya naye mapenzi siku tatu Yellow bird hakufa.Habari ikafika mjini Yellow bird hakuuliwa imekuwaje? Mara Muhenga mmoja akaropoka
"Umeona wapi Jiwemoja likauwa ndege wawili?"
 
Ukitunga story iwe na uhalisia kidogo walau 0.003
 
Back
Top Bottom