Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

24422997fe315ab51bec1378122c5aa7.jpg
 
Kama ulivyosikia Mpenzi Mtazamaji...Manji ana Chuma kwenye Moyo, Habinder Singh ana Puto tumboni, hivyo ukija kusikia Rugemalila ana Kokoto kwenye Ugoko na Malinzi ana filimbi kwenye ini usishangae.

Saa mbaya hizi usipokuwa makini unaweza kumeza hata "Chemli"

..[emoji41]
 
*NJIA 4 ZA KUFIKISHA HABARI HARAKA*

1. *SIMU*
2. *REDIO*
3. *TV*
4. *MWANAMKE*

- *Hiyo namba 4 ukitaka ifike haraka zaidi mwambie nimekwambia wewe usimwambie mtu mwingine*

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji1436][emoji1436][emoji1436][emoji1436][emoji1436][emoji1436][emoji1436][emoji1436]
 
*VITUKO KWENYE DALADALA*
*MZEE; dereva ongeza sauti tumsikilize mwalimu nyerere*
*DEREVA;ungemsikiliza mwalimu wako sahizi ungekuwa na gari lako*

*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sahizi tupo hospital dereva yupo chumba cha wagonjwa mahututi*
 
WAKUU NA SWALI MOJA

Nini hasa faida ya chupi na umuhimu wake??
Ukivaa chupi ukawa umekaa vibaya ikionekana unaambiwa umekaa uchi.
Usipovaa chupi ukaonekana hujavaa chupi unaambiwa upo uchi...
Sasa hapo inakuaje!!!

Sent from Calculator Phone vesion007
Chupi ni takataka kama zilivyo takataka zingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*WAHENGA WAMEPATA SABABU ZA KULALA NJE*

To my wife

*Samahani sana kila nikitoa mguu hapo nje ya ofisi nakuta Nissan nyeupe imepaki. Hvyo leo nalala ofisini*.

Mimi mumeo

Mke: Nakuelewa mume wangu hata hapa ofisini kwetu kwa nje naona nissan nyeupe, nimebaki na boss tu sisi pia tunaogopa kutoka nadhani tutalala ofisini pia.
Mume: nakupitia sasa hivi mke wangu lazima tuwe majasiri tukiwaendekeza hawa watu wasiojulikana hawataicha ndoa salama.
 
Back
Top Bottom