toroka uje mjini
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 1,584
- 2,111
Mkuu inaonekana hua huvaagi chupi au[emoji1]
Sent from Calculator Phone vesion007
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu inaonekana hua huvaagi chupi au[emoji1]
Mwalimu Nyerere alienda Mirembe kutembelea wagonjwa wa akili.Alipofika Mirembe akaanza kuwasalimia wale wagonjwa wenye nafuu.kichaa mmoja alijirusha kutoka ghorofa ya tatu mpaka chini,watu wakamuuliza vipii...kichaa akawajibu"mi sijui,ndo kwanza nimefika".
Sent using Jamii Forums mobile app
Halimpati MweweDua Ya Kuku,,,,,!!![emoji849]
Huyo ni shemale (ke na me) huoni alivyo vimba chini me na juu ni keHivi huyo namba3 amevimbaje kwa mfano[emoji15] [emoji15] [emoji39] [emoji39]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kama ulivyosikia Mpenzi Mtazamaji...Manji ana Chuma kwenye Moyo, Habinder Singh ana Puto tumboni, hivyo ukija kusikia Rugemalila ana Kokoto kwenye Ugoko na Malinzi ana filimbi kwenye ini usishangae.
Saa mbaya hizi usipokuwa makini unaweza kumeza hata "Chemli"
..[emoji41]
Dereva katisha sana*VITUKO KWENYE DALADALA*
*MZEE; dereva ongeza sauti tumsikilize mwalimu nyerere*
*DEREVA;ungemsikiliza mwalimu wako sahizi ungekuwa na gari lako*
*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sahizi tupo hospital dereva yupo chumba cha wagonjwa mahututi*
Ama kweli Sio Bang, Bali ni MakinikiaLeo nimeenda kuchangia damu hospitalini,mara wananambia soda na biskuti zimeisha..!
Sa hii nipo zangu njiani na damu yangu kwenye blood bag naelekea nyumbani. Bora niwapelekee mbu take away..
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
wala sijawahi vutaga bangi Mimi
Mamadogo we kiboko japo sina stress nimekuja kuwatembelea tu huku[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][HASHTAG]#Uanaume[/HASHTAG] ni nn?
*uanaume ni ile siku unaenda kutambulishwa na mchumba wako kwao alaf muda wa kuondoka unamuita baba mkwe chemba unamuomba ela ya nauli*
Sasa mm nivae chupi ya nini?Mkuu inaonekana hua huvaagi chupi au[emoji1]
Sent from Calculator Phone vesion007
Hii kiboko aiseMke wangu alisajili lain mpya jina la Jenifer Godson bila mimi kujua.
Jana usiku nimerudi home akaniomba elfu 10 akasuke.
Nikajibu cha ten sina, zuia buku 2.
Wakati tumelala, msg ktk simu yangu trii:
"HI MY LOVE".
Kidume nikatoka nje naenda toilet, nikaijibu:
"we nani"
MSG: ni mim Jane Msambwanda".
Kusikia Sambwanda, mshipa wa samsing ukanicheza.
MIMI: Jane Msambwanda wa wap tena?"
MSG: Bwana baby nawe,si pale unapokulaga kila siku?"
MIM: "ooh,kumbe unaitwaga Jenifer, namba yangu umeipata wapi?
MSG: "nimepewa na rafiki yako dj tipwil, nakupenda sana hendsam sema huwa naogopaga kukwambia, ila mi sijiwez juu yako, yaani kila ukija kula, nataman usiondoke, nikwambie yaliyomo moyoni mwangu, nanitesa mwenzio"
MIMI: Jamani pole mpenzi, hata mm nilikuwa nakupenda, yaan kila nikiona hilo tako, nahis mzunguko wa damu kuchange, I luv u 2 honey. MSG: Basi mpenzi ,nikuombe ki2?"
MIMI: aah,sema tu
MSG: naomba elfu 50
MIM: nakutumia sasa ivi"
(NIKATUMA)
MSG: Waaoo asante mume wangu, haya rud ndani tulale, mi mkeo MAMA KIDUKU hapa
[emoji134]♂[emoji134]♂[emoji134]♂
hapo ndo utaukumbuka wimbo wa dunia lukumbalukumba[emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]*.....SITASAHAU.....*
sitasahau siku niliyoondoka nyumbani jioni huku nikiacha wanachambua mchele na kurudi usiku na kukuta ugali.....
So sad[emoji17] [emoji17] [emoji17]
Labda nchi nyingine ila siyo hiii.[emoji837]Bill Gates aliandaa usahili mkubwa kwaajili ya kumpata meneja mpya
[emoji837]Wakatokea watahiniwa 5000 na wakawekwa kwenye ukumbi mmoja
[emoji837]Mmoja wa watahiniwa hao ni Onyango, Mkenya anayeishi Marekani
[emoji837]Bill Gates akawashukuru watu wote waliojitokeza, na akasema "Kama kuna mtu hajui programu ya Java tafadhali aondoke"
[emoji837]Watu 2000 wakaondoka
[emoji837]Onyango akawaza "Ni kweli sijui Java lakini nikibakia nitakuwa nimepoteza nini, Ngoja nitajaribu,"
[emoji837]Bill Gates akasema kama kuna mtu hana uzoefu wa kuongoza watu zaidi ya 100 tafadhali ondoka
[emoji837]Watu 2000 wakaondoka
[emoji837]Onyango akawaza "ni kweli sijawahi kuwa kiongozi hata wa mtu mmoja, zaidi ya kujiongoza mwenye lakini nikiendelea kubakia nitakosa nini, je nini kitanitokea
Akabakia tena
[emoji837]Bill Gates akasema" Kama unajijua elimu yako hata Diploma ya utawala huna tafadhali ondoka"
[emoji837]Watu 500 wakaondoka
[emoji837]Onyango akawaza tena "Elimu yangu ni darasa la saba, lakini nikiendelea kubakia nitakosa nini" Akaendelea kubakia ndani ya chumba
[emoji837]Mwishowe Bill Gates akasema "kama hujui lugha ya Serbia kwa ufasaha tafadhali ondoka"
[emoji837]watu 498 wakaondoka
Onyango akiwaza "Hiyo lugha hata kuisikia sijawahi hata Neno moja sijui, la nikibakia nitakosa nini"
akaamua kubakia na akajikuta wamebakia watu wawili tu
[emoji837]Bill Gates akawasogelea na kuwaambia "Hatimae nimewapata watu niliokuwa nawatafuta watu pekee wenye uzoefu na elimu ninayotaka na vile vile Mnajua kuongeza lugha ya Serbia, Tafadhali sitaki kuwasikia mkiongea lugha hiyo maana naichukia
[emoji837]Taratibu kwa uoga Onyango akamnong'oneza Mwezie" Heshima kwako unazo sifa zote hizi hongera kwa kufaulu "
[emoji837]Mwenzake akajibu" sina sifa hata moja nimekomaa tu"
[emoji117]Kumbuka Mungu huwaita watu wasio na sifa kisha huwapa sifa hizo
Tafadhali usikate tamaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lesson learnt-do not quit