Ni jina la jamaa, enzi hizo universities kuna chakula kama boarding school, ktk mgomo wa chakula UDSM, FFU ktk kamata kamata yao, wakamkamata Papuchi ambae alikuwa 2nd year student SUA.hivi papuchi ndo nini?
Ukifajamishwa nitag!...Alie elewa anifahamishe