Utamu wa picha, kumbe baba ndie mpiga picha mweyewa kule shule[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]*KWA STAILI HII WIZI HAUTAISHA TZ*
*Katika zoezi la kupata vitambulisho vya shule mpiga picha alimwambia mwalimu mkuu kuwa kwa kila picha gharama yake ni sh.500, mwalimu mkuu akamwambia mwalimu wa darasa awaambie wanafunzi walete sh.1000 kwa ajili ya picha, mwalimu wa darasa akawaambia wanafunzi mkawaambie wazazi wenu wawape sh.1500 ya picha, mwanafunzi alipofika nyumbani akamwambia mamake tumeambiwa tupeleke sh.2000 ya picha shuleni, mama akamfuata baba akamwambia mtoto kaambiwa apeleke sh. 5000 ya picha shuleni nipe haraka nimpe maana wamesema mwisho kesho...!!!!!.Dah Magufuli Anayo Kazi*
Hahahahamagroup ya WhatsApp ni kama mchezo wa Mpira wa miguu, uwanjani watu 25, jukwaani watu 60,000
group linaweza kuwa na watu 256, lakini wanaochati 6 tu, wengine watazamaji
Mimi mwemyewe hata sioni umuhimu wakeWAKUU NA SWALI MOJA
Nini hasa faida ya chupi na umuhimu wake??
Ukivaa chupi ukawa umekaa vibaya ikionekana unaambiwa umekaa uchi.
Usipovaa chupi ukaonekana hujavaa chupi unaambiwa upo uchi...
Sasa hapo inakuaje!!!
Sent from Calculator Phone vesion007
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Mambo-ya-Pesa
*Kuna dem mmoja kaja home kaniomba pesa nikamwambia sina cash labda bank au M pesa akanambia hapo barabarani kuna wakala twende tukatoe, wakati tunatoka nikamtext mshikaji wangu nikamwambia mi nakuja hapo kwa wakala nikifika karibu nitajifanya kama naongea na simu halafu we utakuja kunipora. Kweli tumefika karibu na wakala mshikaji kaja kanipora simu kakimbia nayo mi nikabaki nashangaa kama cjui kitu cha ajabu yule demi kakimbizana na mshikaji cjui kamkamatia wapi kaja anampiga makofi jamaa yuko hoi dem kanigea simu nimetoa hela nimempa kaondoka hapa mshikaji nae kaniganda nimpoze maana sio kwa vitasa alivyochezea na shati lake limechanika hata cjui nifanyeje*
Baba unaua aiseeee yaani sauti imekauka nimecheka hapa usingizi hata hauji tena daaaah[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Jamani punguzeni pombe,kuna jirani yangu amerudi amelewa sasa nachungulia dirishani naona anagonga mlango wake takribani masaa mawili,wakati hapa anaishi peke yake, kwakuwa sipendagi ujinga nimetoka nikamwambia mwenyewe kasafiri.Nae kaondoka.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pombe siyo chai!!
Mkuu hizo tarakimu unasomaje?halafu wakutoa ni pombe huyuhuyu au ni pombe yupi!?Kama ni huyu endelea kuota ukichoka niambie nikumwagie maji uamkeSalio lako jipya ni sh 500,00,00 umepokea kutoka kwa JOHN POMBE MAGUFULI maana mnalalamika hali ngumu. OFA HII NI KWA KILA MTANZANIA
Acha kutuvuruga ubongoNilikutana na mshikaji wangu Tandika stendi ya
mbagara, akanistua kwa nyuma akisema "Kibweregene
mathematic ndio wew? upo kaka?". Nikamjibu
nipo kiongozi tunasindikiza wenye maisha yao,
akacheka sana,, Mara akaanza kuzungumzia
matatizo ya familia yake, nikamwambia tuyaache
hayo mimi mwenzako nimepitia makubwa,
aling'ang'nia kuzungumzia kero za familia yake,
NIKAMSTOPISHA nikamwambia " Unadhani
familia yako ina matatizo?" Basi sikiliza kisa
changu hiki….
"Miaka michache iliyopita nilikutana na
mwanamke mjane aliyekua na binti mkubwa tu,
mimi na huyo mjane tukaamua kuoana. Baadaye
baba yangu ambae alikuwa mkiwa baada ya
kufiwa na mama kitambo tu akaamua kumuoa
binti yangu wa kambo (yaani binti wa huyu mke
wangu niliyemwoa akiwa mjane), hivyo huyo binti
yangu wa kambo akawa mama yangu wa kambo
na Baba yangu akawa mtoto wangu wa kambo wa
kiume ambapo mke wangu akawa mama mkwe
wa mkwe wake.
Baadaye binti ya mke wangu yaani binti yangu wa
kambo (ambaye kwa sasa ndiye mke wa baba
yangu na hivyo kuwa pia mama yangu wa kambo)
alipata mtoto wa kiume. Mtoto huyo wa kiume
akawa mdogo wangu kwa sababu tulichangia
baba mmoja. lakini kwa vile pia alikua ni mtoto
wa binti wa mke wangu papo hapo akawa mjukuu
wa mke wangu na mimi nikawa babu yake huyo
mdogo wangu.
Lakini hayo yote yalikua si kitu mpaka mimi na
mke wangu tulipopata mtoto wa kiume. Sasa
msichana (yaani binti ya mke wangu ambaye pia
ni mke wa baba yangu) ambaye ni ndugu wa
mtoto wangu huyo wa kiume kwa kuchangia
mama yao mmoja, akawa pia bibi yake na
mwanangu (mwee!!). Hali hiyo ilimfanya pia baba
yangu kuwa shemeji wa mtoto wangu (achilia
kuwa babu yake!!) ambaye ndugu yake wa kike
kwa upande wa mama yao ndie mke wake baba
yangu. Kwa hiyo mimi ni shemeji yake mama
yangu wa kambo ambapo mke wangu ni mama
mdogo (anti) wa binti yake mwenyewe . Mtoto
wangu wa kiume ni mpwa wa baba yangu
ambapo mimi nikawa babu yangu mwenyewe.
Kabla sijammalizia jamaa akaondoka
Mimi sio mchezomchezo
Sipendagi Ujinga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sh 500,00,00 tunaisomaje?Salio lako jipya ni sh 500,00,00 umepokea kutoka kwa JOHN POMBE MAGUFULI maana mnalalamika hali ngumu. OFA HII NI KWA KILA MTANZANIA